Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkono wa govnt ,private iko wapi?
Sas vya private sector. Si utakimbia wewe...Sina muda wa kushindanisha mwanza private investment na zizi la dodoma.. at least Arusha kidogo....
By the way
[emoji116]suala la ujenzi wa Majengo ya hotel unashika kasi huku . that's why we are leading in the number of buildings underconstruction (2022 sensa)
1671024714454.jpg
1671024709637.jpg
1671024703274.jpg
 
Dodoma Suburbs zinapendeza Hadi raha.

Haters wa kule fishing Village watakwambia Serikali ndio inajenga 😂😂😂
 
Sas vya private sector. Si utakimbia wewe...Sina muda wa kushindanisha mwanza private investment na zizi la dodoma.. at least Arusha kidogo....
By the way
[emoji116]suala la ujenzi wa Majengo ya hotel unashika kasi huku . that's why we are leading in the number of buildings underconstruction (2022 sensa)View attachment 2456109View attachment 2456110View attachment 2456111
Unatafutiza kajengo kamoja kamoja Ila video za Suburbs Kama hizi huwezi pata 😁😁.

Dodoma utaipend tuu kwa lazima👇
 
Ghana is beautiful [emoji8][emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji116][emoji116] only in mwanza
JamiiForums473021850.jpg
JamiiForums499980498.jpg
 
Dodoma inawafanya mnaweweseka Sana Ila vumilieni labda Kuna siku Mwanza fishing Village itakuwa The Capital City [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Ni Dom Tena [emoji116]View attachment 2460843View attachment 2460844View attachment 2460845View attachment 2460846View attachment 2460847
Bas mwaona wivu weeh [emoji16][emoji28][emoji28]
Mazingira kama haya dodoma wanayaona kwenye muvi tu

Kama huna bando ..katafute vitonga pale sumbawanga teaching college.
 
Bas mwaona wivu weeh [emoji16][emoji28][emoji28]
Mazingira kama haya dodoma wanayaona kwenye muvi tu

Kama huna bando ..katafute vitonga pale sumbawanga teaching college.

Ila Mwanza ni tamu sana kuhama mwanza adi yesu harudi.
 
Back
Top Bottom