Sas vya private sector. Si utakimbia wewe...Sina muda wa kushindanisha mwanza private investment na zizi la dodoma.. at least Arusha kidogo....Mkono wa govnt ,private iko wapi?
Acha ujinga Mwanza sio Dodoma au Dar.Mwanza bila Serikali Hakuna kitu hapo ππ
Kipi mumefanya bila kutegemea Serikali?Acha ujinga Mwanza sio Dodoma au Dar.
Unatafutiza kajengo kamoja kamoja Ila video za Suburbs Kama hizi huwezi pata ππ.Sas vya private sector. Si utakimbia wewe...Sina muda wa kushindanisha mwanza private investment na zizi la dodoma.. at least Arusha kidogo....
By the way
[emoji116]suala la ujenzi wa Majengo ya hotel unashika kasi huku . that's why we are leading in the number of buildings underconstruction (2022 sensa)View attachment 2456109View attachment 2456110View attachment 2456111
Extra flight [emoji3575].. mwanzaUnatafutiza kajengo kamoja kamoja Ila video za Suburbs Kama hizi huwezi pata [emoji16][emoji16].
Dodoma utaipend tuu kwa lazima[emoji116]View attachment 2456979View attachment 2456980
Kaangalie video ya mikdde ya wakenya walipofanya vlog Mwanza alafu uje uongee huu utumbo wako.Unatafutiza kajengo kamoja kamoja Ila video za Suburbs Kama hizi huwezi pata ππ.
Dodoma utaipend tuu kwa lazimaπView attachment 2456979View attachment 2456980
Hivi huku haipo ...ngoja nimpe LinkKaangalie video ya mikdde ya wakenya walipofanya vlog Mwanza alafu uje uongee huu utumbo wako.
Hizi pande za ghana zinakuja kwa kasi sana.Ghana is beautiful [emoji8][emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji116][emoji116] only in mwanza View attachment 2457017View attachment 2457018
Mwanza Hakuna Suburban Kama Dodoma πGhana is beautiful [emoji8][emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji116][emoji116] only in mwanza View attachment 2457017View attachment 2457018
Kama kawaida,,NHC iyumbu na kisasa [emoji16][emoji16][emoji28]af mbona kukavu hvyo.miti Iko wapiMwanza Hakuna Suburban Kama Dodoma [emoji116]View attachment 2457406
Huyo jamaa huwa ni comedian aseeeπππππππππKama kawaida,,NHC iyumbu na kisasa [emoji16][emoji16][emoji28]af mbona kukavu hvyo.miti Iko wapi
Ukiniletea video Kama hii huko Mwanza njoo uniue nitakuwa pale keepleft ya samaki πKama kawaida,,NHC iyumbu na kisasa [emoji16][emoji16][emoji28]af mbona kukavu hvyo.miti Iko wapi
Kuna nini hapa cha ajabu, ebu tuambie.Ukiniletea video Kama hii huko Mwanza njoo uniue nitakuwa pale keepleft ya samaki πView attachment 2457530
Stesheni Kali ya sgr kuliko zote EAC Ni ya Dom πKuna nini hapa cha ajabu, ebu tuambie.
Dodoma inawafanya mnaweweseka Sana Ila vumilieni labda Kuna siku Mwanza fishing Village itakuwa The Capital City πππππ.Huyo jamaa huwa ni comedian aseeeπππππππππ
Bas mwaona wivu weeh [emoji16][emoji28][emoji28]Dodoma inawafanya mnaweweseka Sana Ila vumilieni labda Kuna siku Mwanza fishing Village itakuwa The Capital City [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Ni Dom Tena [emoji116]View attachment 2460843View attachment 2460844View attachment 2460845View attachment 2460846View attachment 2460847
Ongeza na render zingine huo mji wa dodoma utawatisha nyie tu viswaswadu, Mwanza ni kiboko yao.Dodoma inawafanya mnaweweseka Sana Ila vumilieni labda Kuna siku Mwanza fishing Village itakuwa The Capital City πππππ.
Ni Dom Tena πView attachment 2460843View attachment 2460844View attachment 2460845View attachment 2460846View attachment 2460847
Ila Mwanza ni tamu sana kuhama mwanza adi yesu harudi.Bas mwaona wivu weeh [emoji16][emoji28][emoji28]
Mazingira kama haya dodoma wanayaona kwenye muvi tu
Kama huna bando ..katafute vitonga pale sumbawanga teaching college.