Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wapo wengi sana. Tatizo watu wa mwanza exposure zero, au mkipata kidogo ni uzeeni alafu mnajikuta mnajua.
We mwenye exposure ni kitu gani umexpose hapa zaidi ya ulimbukeni na kutafuta popularity isivyo na maan
 
Wapo wengi sana. Tatizo watu wa mwanza exposure zero, au mkipata kidogo ni uzeeni alafu mnajikuta mnajua.
Watu wa mwanza huwa hawajui kutafuta kujua vitu vya kijinga huwa wanatumia muda mwingi kusaka pesa na sio kusikiliza story za vijiwe vya kahawa.
 
We mwenye exposure ni kitu gani umexpose hapa zaidi ya ulimbukeni na kutafuta popularity isivyo na maan
Popularity ningeitaka ningeweka majina yangu ya kiserikali lofa wewe. Najaribu tu kuwaambia watu wa mwanza kuwa kweli mji wenu umekua, wasukuma sasa angalau wanaona vighorofagjorofa tudogo, ila wenzenu walishawatangulia, yani ni Arusha na Dar. On all fronts. Alafu arusha sehemu incorporated ya jiji ni CBD tu, watafanya marekebisho na utaelewa kwa nini mwanza ni shithole tu. Arusha wenzenu pale hakuna lugha isiyoongelewa pale, kireno, kirussi name it, Arusha ina global presence, wameanza kila kitu kabla yenu. Poleni lakini please please hakuna cha kulinganisha, Mwanza ni mji mkubwa lakini hauna la maana. Its not popping. Bakini kuwa watazamaji. Trendsetters Tanzania ni Dar na Arusha. Tanga ni honorable mention.
 
Ukiangalia how ... impotent you're..uleta mambo ya arusha kwenye Uzi wa dodoma how do they relate ..
Nenda kaongeze level of your intelligence capacity ndio urudi kwenye uzi
 
Ukiangalia how ... impotent you're..uleta mambo ya arusha kwenye Uzi wa dodoma how do they relate ..
Nenda kaongeze level of your intelligence capacity ndio urudi kwenye uzi
Ni kwamba, ata dodoma imewazidi.
 
Kama jengo lipi la utalii? Kumbe ata kutembea hujatembea. Arusha ni wapambanaji, hakuna maghorofa ya serikali mengi pale. Mengi ni ya watu binafsi.
Ukitoa majengo ya AICC,NSSF,PPF,NGORONGORO, na nyuumba za NHC ni nyingi sana hapo! Usitudanganye serkali na uwepo wa Afrika mashariki ndo kunaibeba Arusha sana!
 
Kila Takwimu Dom lazima iwanyee Mwanza [emoji23] [emoji23]

Mapato ya TRA +Halmashauri (Bilions?)

Mwanza 220+44=264.

Dodoma 191+89=280

View attachment 2471342

Dodoma imechapa Mwanza,kila siku nawaambia Mwanza is overrated [emoji1787][emoji1787]
Takwimu zinawakataa sana wakazi wa Mwanza...sema sasa watafanyaje inabidi wakaze kutuonyesha ziwa Victoria
 
Takwimu zinawakataa sana wakazi wa Mwanza...sema sasa watafanyaje inabidi wakaze kutuonyesha ziwa Victoria
Kwa Sasa wanachofanya Ni kujitutumua tuu..

Arusha imewachapa,

Dom imewachapa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁🤸🤸🤸🤸
 
Mmeanza kurely kwenye predictions [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna takwimu zozote Duniani zisizoanza na prediction....na obviously our statistical accuracy ni 95 percent ...
Kiufupi
Dodoma kiuchumi ni poor na inazidi kuwa destitute Kila mwaka [emoji116]
 
Kwa Sasa wanachofanya Ni kujitutumua tuu..

Arusha imewachapa,

Dom imewachapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Ukweli kabisa arusha na dodoma imetuchapa[emoji116][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…