Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwan wew una evidence gan ya huo ujenzi kama sio maneno matupu ya huyo jamaa ...leta evidence kwa kutuonyesha site au procurement notice ,,,ili tuamini kama wew unavyoforce hapa mambo
Umeniwahi utazan tupo pamojaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni jambo zuri lakini jiji linapokuwa na uchumi wa kuforce wa serikali, kwa kuongeza govt sector, haitainua wananchi moja kwa moja, dodoma itakuwa na majengo makubwa na mazuri ata kuliko jiji lolote lakini haina uwekezaji kutoka private sector na hii kitu inazidi kushusha uchumi wa dodoma....... Sasa imekuwa ni mmoja kati ya mikoa mitatu masikini zaidi Tanzania.
 
Porojo as usual 😁😁
Kumbuka taasisi 189 zinatakiwa kujenga ofisi zao Dom na mwaka huu zinaanza taasisi 44.
 
Rudia kunisoma hapo juu, nimesema mtakuwa na majengo mengi na makubwa kuliko mkoa wowote hapa Tanzania lakini hayatabadiri umaskini wa watu wa Dodoma, pia serikali kuamia hapo itazidi kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Dodoma.
Porojo as usual 😁😁
Kumbuka taasisi 189 zinatakiwa kujenga ofisi zao Dom na mwaka huu zinaanza taasisi 44.
 
Kwan wew una evidence gan ya huo ujenzi kama sio maneno matupu ya huyo jamaa ...leta evidence kwa kutuonyesha site au procurement notice ,,,ili tuamini kama wew unavyoforce hapa mambo
Picha hujaziona? NHC wameanza Samia housing scheme Dar na Dodoma pia
 
Rudia kunisoma hapo juu, nimesema mtakuwa na majengo mengi na makubwa kuliko mkoa wowote hapa Tanzania lakini hayatabadiri umaskini wa watu wa Dodoma, pia serikali kuamia hapo itazidi kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Dodoma.
Yasibadili kivip wakati pesa zinaingia Kwa watu wa Dodoma? Kwamba majengo yakijengwa pesa inaenda Mwanza au? πŸ˜†πŸ˜†

Acha kutapatapa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…