Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Tofautisha Vituo vya Mkoa na vya Jijini
We kweli dormant mind... figure hupingwa Kwa figure.leta hiyo figure ya majiji ,,,.no research no right to speak..
Dodoma Petro station ni za kuhesabu .kuanzia Nala mpaka mtumba hazifiki sheli 20 ,kuanzia mkonze Hadi msalato hazifiki sheli 15 ...

Wakati Mwanza Kila mtaa Kuna Petro station
 
Nakukubali kamanda wewe ni mwanauchumi mbombezi kariba ya prof Lipumba.
 
Mall ziko 2,Mwanza mnazo ngapi? Au ndio hizo mnazoota? [emoji16][emoji16]
Shoppers ni mall [emoji28][emoji28].ukitumwa mall utaleta Hiyo capital city ya hapo emaus [emoji28][emoji28]....
Rock city inabeba vimall vyenu vya mchongo vyote na kubaki chenji ..
By the way mwanza Kuna shopping plaza za kutosha na nyingi na hatuziiti mall
Kuna buzuruga plaza, Nyerere road plaza ,Lumumba plaza nk...

The next mega mall itabreak all record za shopping mall tz
 
Dodoma hamuiwezi,tumewachoka Kila siku vijengo hivyo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Mall kubwa kama Mlimani City kujengwa Dom ,video[emoji116]
Vitega uchumi vyatakiwa vijijenge kutokana na hali ya uchumi ya watu husika.
Hapo kinachofanyika ni kulazimisha kitu ambacho hakitatokea
 
Vitega uchumi vyatakiwa vijijenge kutokana na hali ya uchumi ya watu husika.
Hapo kinachofanyika ni kulazimisha kitu ambacho hakitatokea
Bora umesema wewe, serikali inatumia nguvu kubwa karibu nusu ya mapato ya Tanzania yanaushia Dodoma na Dar, hizo nguvu za kulazimisha ukuaji wa dodoma ni bora wangepeleka Geita ili we kama jo'berg
 
Back
Top Bottom