Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Picha hujaziona? NHC wameanza Samia housing scheme Dar na Dodoma pia
Kwanini kila kitu hapo kinachojengwa lazima kihusishe serikali, na hii kitu haitasaidi watu wa dodoma, swali la kujiuliza kwanini private sector hawawekezi Dodoma? Usilete picha yako ya kila siku ya kiwanda cha mbolea kilichoingia ubia na serikali.
 
Yasibadili kivip wakati pesa zinaingia Kwa watu wa Dodoma? Kwamba majengo yakijengwa pesa inaenda Mwanza au? 😆😆

Acha kutapatapa wewe
Na hayo majengo yaserikali yanawafanya kuwa na kiburi kwenye mapato ya halmashauri lakini ukweli nyie ni sifuri.
 
Kwanini kila kitu hapo kinachojengwa lazima kihusishe serikali, na hii kitu haitasaidi watu wa dodoma, swali la kujiuliza kwanini private sector hawawekezi Dodoma? Usilete picha yako ya kila siku ya kiwanda cha mbolea kilichoingia ubia na serikali.
Private sector hawawekezi? Una uhakika? Mara ngapi tumeweka apartments za private sector humu? Hoteli za private sector nk?

Ukiacha Dar Mkoa gani mwingine una vituo vingi vya mafuta kuzidi Dodoma? Kwa hiyo ni serikali inajengwa? Yale magorofa yote pale mjini Kati ni serikali inajenga?
 
Hizo nyumba mbili ndio uwekezaji wewe ni kichaa, sasa mwanza tukiweka maujenzi ya apartment humu patatosha?
 
Private sector hawawekezi? Una uhakika? Mara ngapi tumeweka apartments za private sector humu? Hoteli za private sector nk?

Ukiacha Dar Mkoa gani mwingine una vituo vingi vya mafuta kuzidi Dodoma? Kwa hiyo ni serikali inajengwa? Yale magorofa yote pale mjini Kati ni serikali inajenga?
Eti vituo vya mafuta .... mwanza ni second of everything
 
Me nakupa render ya mega mall complex.
IMG-20230117-WA0005.jpg
IMG-20230117-WA0008.jpg
 
Kula vitu kuntu we nguchiro wa mbeya hiyo kitu hapo itawapelekea moto mpaka maji muite mma.
 
Private sector hawawekezi? Una uhakika? Mara ngapi tumeweka apartments za private sector humu? Hoteli za private sector nk?

Ukiacha Dar Mkoa gani mwingine una vituo vingi vya mafuta kuzidi Dodoma? Kwa hiyo ni serikali inajengwa? Yale magorofa yote pale mjini Kati ni serikali inajenga?
Vituo vya mafuta..[emoji116]
20230118_084153.jpg
 
Mwanza wapelekeee moto Dodoma wanaosubiri miradi ya NHC na miradi ya maofisi ya serikali mji wa mtumba.
 
Kwa baadhi ya kodi za majengo na uwekezaji halimashauri haipati?
Kodi ya majengo ni TRA,hakuna pesa ya jengo la serikali inaenda Halmashauri,hayo mabilioni ya Dom City ni biashara za watu na makampuni na baadhi ya Mali chache za Jiji kama kuuza viwanja na uwekezaji wa miradi yake..

Pesa zinatoka huku
👇
 
Leta miradi ya private investors humu, jiulize kwanini Dodoma ina uchumi unaolingana na Singida.
 
Back
Top Bottom