Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wanajengewa na NHC 🤣🤣🤣.

Dodoma The Capital City 👇
Your browser is not able to display this video.
 
Wakati ukiendelea kupost vijengo vya wizara huko mtumba ....
Mwanza inaizidi kujengwa na wananchi wake na wawekezaji..(mwanza ni mkoa unaoongoza Kwa idadi ya majengo yanayojengwa)
Nakuletea Miradi mitano ya watu binafsi inaoyoendelea hapa city..
Then jitathimini ni Lin mtaifikia mwanza

1:Royal hospital building [emoji116]
 
Hii ungeleta current hii ni ya muda sana, leta jengo lilipofikia sasa azimie
 
Unaweza jibu Kwa kuleta . project Tano hapo dodoma...za private sector
 
Aisee ,,, dodoma watakufa Kwa kihoro ..hapo pembeni ya Hilo jengo naona wamezungusha bati ...naona mradi mwingine unanukia [emoji4][emoji4][emoji3059]... dodoma mnasubiri kajengo ka TBC pale ihumwa au NHC wajenge mall [emoji849][emoji849][emoji75][emoji75][emoji12][emoji12]
 
Wao wasubiri serikali huku sisi tunaendelea kuwagongelea misumali kwa private sector
 
Ila wewe Jamaa hunaga aibu yaani huchoki ku post hako kajengo kalikoishia njiani Kila siku?
Punguza upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…