Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma serikali ikimaliza ujenzi ndo mwisho wake
 
Unaweza jibu Kwa kuleta . project Tano hapo dodoma...za private sector
Najua ziko nyingi sana ni Kwa vile siko Dodoma,nikizipata kwenye mtandao nitaziweka..

Wewe Kwa akili Yako Dodoma ilivyo moto kwenye ujenzi ni ya kukosa private developments?

Ni ajabu Mwanza kulingia Vijengo vya gorofa 6,Ndio maana mnadharaulika.
 
Najua ziko nyingi sana ni Kwa vile solo Dodoma,nikizipata kwenye mtandao nitaziweka..

Wewe Kwa akili Yako Dodoma ilivyo moto kwenye ujenzi ni ya kukosa private developments?

Ni ajabu Mwanza kulingia Vijengo vya gorofa 6,Ndio maana mnadharaulika.
Aliyekuambia nani anaringia ghorofa 6 [emoji12][emoji12][emoji849][emoji849]...mbona unajifariji....mi nakuonyesha how serious majiji yanapaswa kuwa
Mbona dodoma hamjapost majengo ya ghorofa 10 tuyaone [emoji28][emoji28]..unaleta viofisi vya wizara ghorofa 5...by the way nionyeshe jengo la ghorofa 6 hapo juu [emoji75][emoji75][emoji75]..
Mwanza inajengwa every day ,,na hapa bado sijakupostia miradi ambayo Iko ground...
 
Najua ziko nyingi sana ni Kwa vile siko Dodoma,nikizipata kwenye mtandao nitaziweka..

Wewe Kwa akili Yako Dodoma ilivyo moto kwenye ujenzi ni ya kukosa private developments?

Ni ajabu Mwanza kulingia Vijengo vya gorofa 6,Ndio maana mnadharaulika.
Ziko nyingi wapi ..kisasa , medeli,au hapo Nyerere square [emoji28][emoji12][emoji12][emoji12]...nimetoka dodoma juzi ..hamna kipya ....zaidi ya kota za NHC iyumbu [emoji75][emoji75]
 
Dodoma ingekuwa moto kwenye ujenzi isingezidiwa na mwanza Kwa gap la majengo 24000 ..yanayoendelea kujengwa.rejea nbs census 2022
 
Wewe hata huelewi,hata Yale majengo ya gorofa iliyofipoti kwenye sensa zaidi ya nusu yamejengwa kuanzia 2018 Sasa huoni by 2032 itakuwa nyuma ya Dar?
 
Ziko nyingi wapi ..kisasa , medeli,au hapo Nyerere square [emoji28][emoji12][emoji12][emoji12]...nimetoka dodoma juzi ..hamna kipya ....zaidi ya kota za NHC iyumbu [emoji75][emoji75]
Bahati nzuri Dodoma haijajikusanya sehemu Moja kama Mwanza
 
Wewe hata huelewi,hata Yale majengo ya gorofa iliyofipoti kwenye sensa zaidi ya nusu yamejengwa kuanzia 2018 Sasa huoni by 2032 itakuwa nyuma ya Dar?
Huo umbeya wa kwamba hayo majengo zaidi ya nusu yamejengwa kuanzia 2018 umeutoa wapi..hizo stori zako peleka vijiweni kwenu.. kwenye umoja wenu wa chawa wa mama ..sio hapa
 
Bahati nzuri Dodoma haijajikusanya sehemu Moja kama Mwanza
Kwamba imetapakaa...kongwa ndio majengo yapo..bahi , chamwino au mpwapwa ndiko yalipo ..au unasemea hostel za chuo Cha serikali za mitaa kule hombolo [emoji12][emoji28]...au hostel za mipango pale st gema [emoji849][emoji75][emoji75]
 
Kwamba Kasi ya ukuaji wa Jiji la Dodoma ni sawa na Mwanza au?
 
Kijana Mwanza kule kunawanaume hakuna mbeleko ya serkali! Na wese unajua fika kwamba Mwanza na kanda ya ziwa na Kaskazini ndi kuna wanaume nchii hii! Hapo dodoma hao wagogo asili yao ni umaskini! Serkali peke ake inawekeza wenyeji wako usingizi wa pono!
Kinachoifanya Mwanza ikimbie hata wenyeji wa Mwanza wanawekeza pia wakishirikiana na wageni!
 
Pamoja na hizo porojo very unfortunately Kanda ya Ziwa inaongoza Kwa umaskini Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…