HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Tatizo wagogo hamna akiliUna uhakika hawafiki 50,000?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wagogo hamna akiliUna uhakika hawafiki 50,000?
Najua ziko nyingi sana ni Kwa vile siko Dodoma,nikizipata kwenye mtandao nitaziweka..Unaweza jibu Kwa kuleta . project Tano hapo dodoma...za private sector
Itamaliza ujenzi lini? Siku ukipata akili hutoandika ujinga kama huu tena.Dodoma serikali ikimaliza ujenzi ndo mwisho wake
Aliyekuambia nani anaringia ghorofa 6 [emoji12][emoji12][emoji849][emoji849]...mbona unajifariji....mi nakuonyesha how serious majiji yanapaswa kuwaNajua ziko nyingi sana ni Kwa vile solo Dodoma,nikizipata kwenye mtandao nitaziweka..
Wewe Kwa akili Yako Dodoma ilivyo moto kwenye ujenzi ni ya kukosa private developments?
Ni ajabu Mwanza kulingia Vijengo vya gorofa 6,Ndio maana mnadharaulika.
Ziko nyingi wapi ..kisasa , medeli,au hapo Nyerere square [emoji28][emoji12][emoji12][emoji12]...nimetoka dodoma juzi ..hamna kipya ....zaidi ya kota za NHC iyumbu [emoji75][emoji75]Najua ziko nyingi sana ni Kwa vile siko Dodoma,nikizipata kwenye mtandao nitaziweka..
Wewe Kwa akili Yako Dodoma ilivyo moto kwenye ujenzi ni ya kukosa private developments?
Ni ajabu Mwanza kulingia Vijengo vya gorofa 6,Ndio maana mnadharaulika.
Dodoma ingekuwa moto kwenye ujenzi isingezidiwa na mwanza Kwa gap la majengo 24000 ..yanayoendelea kujengwa.rejea nbs census 2022Najua ziko nyingi sana ni Kwa vile siko Dodoma,nikizipata kwenye mtandao nitaziweka..
Wewe Kwa akili Yako Dodoma ilivyo moto kwenye ujenzi ni ya kukosa private developments?
Ni ajabu Mwanza kulingia Vijengo vya gorofa 6,Ndio maana mnadharaulika.
Wewe hata huelewi,hata Yale majengo ya gorofa iliyofipoti kwenye sensa zaidi ya nusu yamejengwa kuanzia 2018 Sasa huoni by 2032 itakuwa nyuma ya Dar?Dodoma ingekuwa moto kwenye ujenzi isingezidiwa na mwanza Kwa gap la majengo 24000 ..yanayoendelea kujengwa.rejea nbs census 2022
Bahati nzuri Dodoma haijajikusanya sehemu Moja kama MwanzaZiko nyingi wapi ..kisasa , medeli,au hapo Nyerere square [emoji28][emoji12][emoji12][emoji12]...nimetoka dodoma juzi ..hamna kipya ....zaidi ya kota za NHC iyumbu [emoji75][emoji75]
Huo umbeya wa kwamba hayo majengo zaidi ya nusu yamejengwa kuanzia 2018 umeutoa wapi..hizo stori zako peleka vijiweni kwenu.. kwenye umoja wenu wa chawa wa mama ..sio hapaWewe hata huelewi,hata Yale majengo ya gorofa iliyofipoti kwenye sensa zaidi ya nusu yamejengwa kuanzia 2018 Sasa huoni by 2032 itakuwa nyuma ya Dar?
Kwamba imetapakaa...kongwa ndio majengo yapo..bahi , chamwino au mpwapwa ndiko yalipo ..au unasemea hostel za chuo Cha serikali za mitaa kule hombolo [emoji12][emoji28]...au hostel za mipango pale st gema [emoji849][emoji75][emoji75]Bahati nzuri Dodoma haijajikusanya sehemu Moja kama Mwanza
Ok nimeshapapata ni Ghana! Vipi hapo pembeni ni project ya nani?Hii hapa angalau
View attachment 2490388
Ghana...hyo mojaOk nimeshapapata ni Ghana! Vipi hapo pembeni ni project ya nani?
Kwamba Kasi ya ukuaji wa Jiji la Dodoma ni sawa na Mwanza au?Kwamba imetapakaa...kongwa ndio majengo yapo..bahi , chamwino au mpwapwa ndiko yalipo ..au unasemea hostel za chuo Cha serikali za mitaa kule hombolo [emoji12][emoji28]...au hostel za mipango pale st gema [emoji849][emoji75][emoji75]
Kijana Mwanza kule kunawanaume hakuna mbeleko ya serkali! Na wese unajua fika kwamba Mwanza na kanda ya ziwa na Kaskazini ndi kuna wanaume nchii hii! Hapo dodoma hao wagogo asili yao ni umaskini! Serkali peke ake inawekeza wenyeji wako usingizi wa pono!Kwamba Kasi ya ukuaji wa Jiji la Dodoma ni sawa na Mwanza au?
Pamoja na hizo porojo very unfortunately Kanda ya Ziwa inaongoza Kwa umaskini TanzaniaKijana Mwanza kule kunawanaume hakuna mbeleko ya serkali! Na wese unajua fika kwamba Mwanza na kanda ya ziwa na Kaskazini ndi kuna wanaume nchii hii! Hapo dodoma hao wagogo asili yao ni umaskini!
Kinachoifanya Mwanza ikimbie hata wenyeji wa Mwanza wanawekeza pia wakishirikiana na wageni!
Kwa hiyo hiyo mbeya yako na majumba ya tope ndio matajiri!Pamoja na hizo porojo very unfortunately Kanda ya Ziwa inaongoza Kwa umaskini Tanzania
Mbeya usilinganishe na nyie maskini wa huko Mwanza na Kanda ya Ziwa,tuko namba 3 Kwa GDP Tanzania na tuko namba 2 Kwa per Capita income..Kwa hiyo hiyo mbeya yako na majumba ya tope ndio matajiri!
Sio saw... mwanza ndio imeizidi dodoma.. ushahidi ni project Mpya ....we hujaniletea project Mpya . zaidi ya maghofu ya hapo mtumba miaka zaidi ya mitatu hayaishiKwamba Kasi ya ukuaji wa Jiji la Dodoma ni sawa na Mwanza au?
Mwanza ya ngapi kwa GDP?Mbeya usilinganishe na nyie maskini wa huko Mwanza na Kanda ya Ziwa,tuko namba 3 Kwa GDP Tanzania na tuko namba 2 Kwa per Capita income..
Hayo majumba ya udongo ni Bora kuliko Yale maslums yenu.