Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

we jamaa kweli umesafir au unaongea tu...hv kweli hii stand mpya ya dodoma utasema stand ya maana? dah kweli nyie wagogo mna mambo kastendi kadogo, kamebanana au umedanganyika na kale kaloshen ndio unaona kama stand ya maana? dodoma bado bhana
 
Jamaa anafurahisha sana kwakweli dah [emoji3]
 
Nini Buhongwa, Nyasaka tu yenyewe atakuwa anapita na lami yuuuule buzuruga [emoji3]
 
mwenda zake hayupo wewe kwaiyo serikali yote inarudi dar sasa kwa taarifa yenu na dodoma itarudi kama zaman
 
Kuondoa utata kwa kuzingatia nature ya miji yote miwili tuanze na above kumi mpaka 16 naamini hamna jengo refu zaidi ya flow hizo kwa miji yote miwili.
mwanza ipo losheni 17....utawasimulia wagogo wenzio ...hio ndio mwanza
 
we jamaa kweli umesafir au unaongea tu...hv kweli hii stand mpya ya dodoma utasema stand ya maana? dah kweli nyie wagogo mna mambo kastendi kadogo, kamebanana au umedanganyika na kale kaloshen ndio unaona kama stand ya maana? dodoma bado bhana
Tuwekee ya maana wewe uliyesafiri 🙄🙄
 
Unaweza kuwa jitu zima lakini litoto vilevile, kinachofanya uwe mtu mzima siyo umri tu bali pia unavyojitofautisha kwa kufikiri na kutenda. Sasa badala ulete hoja ya kuitetea Mwanza unavyoikubali tukuelewe umesharukia yasiyohusiana na mada jadiliwa.
Wewe tukana, kasirika, jitupe kwenye mavumbi lakini wewe ni litoto litoto la hivyo ktk malezi na lisilojua Tanzania hii ikoje, na halijatembea mahala mahala kiutafutaji
 
Sizitaki mbichi hizi,ulitaka uletewe majengo gani? Hayo majengo yamejengwa Mwanza au? [emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu tupunguze kazi, mkuu hivi wewe unaona no kitu gani Dodoma inaipiku Mwanza halafu uanze kuleta kimoja kimoja kikiwa na ushahidi wa picha au takwimu then ukimaliza na mwanza tulete hivyo vitu then tufanye comparison
 
We jamaa bwana,ni vitu vingi Sana.

1.Mpangilio wa Jiji.

2.Residential apartments

3.Idadi ya majengo ya ghorofa both tall na ordinary.

4.Vyuo na taasisi za elimu.

5.Urefu na ubora Wa barabara.

6.Mapato ya Jiji.

7.The list is endless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…