Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kijiji cha wavuvi cha Mwanza siku kikifikia hapa ni taghaahaahaa...we jamaa yaan huo uchafu ndio u ataka kufananisha na mwanza
we jamaa kweli umesafir au unaongea tu...hv kweli hii stand mpya ya dodoma utasema stand ya maana? dah kweli nyie wagogo mna mambo kastendi kadogo, kamebanana au umedanganyika na kale kaloshen ndio unaona kama stand ya maana? dodoma bado bhanaHata ile stand ya Dom ni kubwa kuliko ya Magufuli ya Dar sema wameniudhi kwenye parking za magari ikijaa inatakiwa kurudi rivasi ndio iondoke,pale dizaini ilokosema ilitakiwa iende mbele ila ni stand nzuri Sana.
Afu watu wanajua kwamba Dom kinajengwa duala carriage za kuzidi,kuanzia ring road za Tanroads,hadi za Tarura kule mtumba na mjini Kati?
Jamaa anafurahisha sana kwakweli dah [emoji3]Kilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza [emoji32]
Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.
Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.
Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.
Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Nini Buhongwa, Nyasaka tu yenyewe atakuwa anapita na lami yuuuule buzuruga [emoji3][emoji38][emoji38] tatizo haujaelewa ni nini namaanisha...?? mwanza watu wengi hasa wageni wanajua maeneo yaliyo jirani na barabara kuu ambayo kiuhalisia naweza sema ni asilimia 20 tu wengi wanaijua buhongwa kwa kuiangalia kutoka barabarani kisha wanafuata lami hadi mjini kati wanakula kona nata hadi kisesa au wanaanzia mji kati hadi ilemela kanisani kisha wanakuja kutengeneza Uzi hapa
Mtu anasema dodoma imepanuka sijui hadi wapi.. ninauhakika mleta uzi buhongwa tu au mkolani hazijui hata kwa 10% japo n maeneo yaliyo kando ya barabara kuu
mwanza ipo losheni 17....utawasimulia wagogo wenzio ...hio ndio mwanzaKuondoa utata kwa kuzingatia nature ya miji yote miwili tuanze na above kumi mpaka 16 naamini hamna jengo refu zaidi ya flow hizo kwa miji yote miwili.
Tuwekee ya maana wewe uliyesafiri 🙄🙄we jamaa kweli umesafir au unaongea tu...hv kweli hii stand mpya ya dodoma utasema stand ya maana? dah kweli nyie wagogo mna mambo kastendi kadogo, kamebanana au umedanganyika na kale kaloshen ndio unaona kama stand ya maana? dodoma bado bhana
Yani we jamaa unafurahisha unatuletea hapa majengo ya chuoHicho kijiji cha wavuvi cha Mwanza siku kikifikia hapa ni tag
View attachment 2080644
View attachment 2080646
View attachment 2080648
View attachment 2080649
View attachment 2080650
View attachment 2080651
Sizitaki mbichi hizi,ulitaka uletewe majengo gani? Hayo majengo yamejengwa Mwanza au? 😀😀😀Yani we jamaa unafurahisha unatuletea hapa majengo ya chuo
Wewe tukana, kasirika, jitupe kwenye mavumbi lakini wewe ni litoto litoto la hivyo ktk malezi na lisilojua Tanzania hii ikoje, na halijatembea mahala mahala kiutafutajiUnaweza kuwa jitu zima lakini litoto vilevile, kinachofanya uwe mtu mzima siyo umri tu bali pia unavyojitofautisha kwa kufikiri na kutenda. Sasa badala ulete hoja ya kuitetea Mwanza unavyoikubali tukuelewe umesharukia yasiyohusiana na mada jadiliwa.
mbona uchafu mtupu hakuna hata ghorofa mojaNi kituko kuilinganisha mwanza na dodoma[emoji23]View attachment 2080213
Hebu tupunguze kazi, mkuu hivi wewe unaona no kitu gani Dodoma inaipiku Mwanza halafu uanze kuleta kimoja kimoja kikiwa na ushahidi wa picha au takwimu then ukimaliza na mwanza tulete hivyo vitu then tufanye comparisonSizitaki mbichi hizi,ulitaka uletewe majengo gani? Hayo majengo yamejengwa Mwanza au? [emoji3][emoji3][emoji3]
Uchafu upo kijiji cha wavuvi kilichojaa maskini .mbona uchafu mtupu hakuna hata ghorofa moja
We jamaa bwana,ni vitu vingi Sana.Hebu tupunguze kazi, mkuu hivi wewe unaona no kitu gani Dodoma inaipiku Mwanza halafu uanze kuleta kimoja kimoja kikiwa na ushahidi wa picha au takwimu then ukimaliza na mwanza tulete hivyo vitu then tufanye comparison
dodoma uchafu ule we si unaona mleta mada kata kutuma chuafu wa dodoma anaona noma....mwana ni untouchableWakuu naomba kuwasilisha, huu ndo mji wa Mwanza ambao et the so called dodoma wanajaribu kujilinganisha nao seriously!View attachment 2080265
Kuna majengo Kama haya mwanza zaidi ya elfu sasa ukitaka tulete mojamoja tutamaliza kweli?Capital City Dodoma [emoji116]
View attachment 2080697
View attachment 2080698
View attachment 2080699
View attachment 2080700
sasa we unatuma tu ..... mbona wagogo wao wamekaa tu kimya? mpambano wameutaka wenyewe matokeo yake wanatafutana majukwaani umu sasaRock city, leo mpaka watu wa dodoma muukimbie Uzi wenu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2080296