Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mbeya usilinganishe na nyie maskini wa huko Mwanza na Kanda ya Ziwa,tuko namba 3 Kwa GDP Tanzania na tuko namba 2 Kwa per Capita income..

Hayo majumba ya udongo ni Bora kuliko Yale maslums yenu.
Hyo Namba 2 Kwa GDP Iko Kanda gani [emoji849]
 
Mtaa wa Cha Asubuhi
[emoji3][emoji3][emoji3] sijawahi kuona mkoa wenye bodaboda wengi mjini kama mbeya...
Nilikua pale beaco resort nikaenda hadi sabasaba mpaka isendo bila kusahau sehemu inaitwa sijui ivumwe[emoji3][emoji3]

Sina mwenyeji wa kunionyesha wapi matajiri wanakaa ila mbeya kweli ni Green site[emoji1]
 
Wanakaa mtaa Fulani wa kishua unaitwa Cha Asubuhi Mkuu,ukizia huo mtaa.
 
Nenda forest na iwambi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]hujaona wasafwa hapo nzovwe [emoji75][emoji75]
Sina mwenyeji hua natembea tembea tu nikichoka narudi kupumzika[emoji1] ila mbeya ni mkoa wa kawaida sana. Maajabu yapo udzungwa tu[emoji1]
 
Sina mwenyeji hua natembea tembea tu nikichoka narudi kupumzika[emoji1] ila mbeya ni mkoa wa kawaida sana. Maajabu yapo udzungwa tu[emoji1]
Nilikuambia hukutaka kunisikia ,,Bora vacation yako ungeenda hata kigoma ..ungeenjoy hata ziwa Tanganyika na kuona chimpanzee pale gombe ...mbeya ni zizi kubwa na hasara kwenda vacation huko
 
Kwamba imetapakaa...kongwa ndio majengo yapo..bahi , chamwino au mpwapwa ndiko yalipo ..au unasemea hostel za chuo Cha serikali za mitaa kule hombolo [emoji12][emoji28]...au hostel za mipango pale st gema [emoji849][emoji75][emoji75]
Ata hizo mitaa unazan anazijua, utamchosha tu huyu ndondocha wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…