Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Hyo Namba 2 Kwa GDP Iko Kanda gani [emoji849]Mbeya usilinganishe na nyie maskini wa huko Mwanza na Kanda ya Ziwa,tuko namba 3 Kwa GDP Tanzania na tuko namba 2 Kwa per Capita income..
Hayo majumba ya udongo ni Bora kuliko Yale maslums yenu.