Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

K
Hii ni mwanza, Leta picha Kama hii hapo dodoma tuone, View attachment 2080478
Huyo jamaa alikuwa anatuma picha za Dodoma lakini cha kushangaza kwenye hizo picha kulikuwa na picha za jiji letu pendwa la mwanza, pia anatuma na michoro badala ya kuweka picha halisi, kuilinganisha Mwanza na Dodoma ni upumbavu wa hali ya juu ata kama sehemu unaichukia. Asante sana kiongozi.
 
We jamaa bwana,ni vitu vingi Sana.

1.Mpangilio wa Jiji.

2.Residential apartments

3.Idadi ya majengo ya ghorofa both tall na ordinary.

4.Vyuo na taasisi za elimu.

5.Urefu na ubora Wa barabara.

6.Mapato ya Jiji.

7.The list is endless.
Mkuu samahani Ila ni Kama unataka kujitoa tu ufahamu yani kuna kitu hapo unaona mwanza inazidiwa na dodoma! Sawa tuanze na mpangilio wa jiji susha vitu, picha ndo itakuwa vizuri zaidi usiweke renders
 
Mkuu samahani Ila ni Kama unataka kujitoa tu ufahamu yani kuna kitu hapo unaona mwanza inazidiwa na dodoma! Sawa tuanze na mpangilio wa jiji susha vitu, picha ndo itakuwa vizuri zaidi usiweke renders
Vitu gani,kwani hujui Dom ndio iko well planned kuliko Mji wowote Tzn? 80% is planned sasa nondo gani unataka?

Ndio maana unaona kuna ujenzi wa ma apartments kila sehemu ikiwemo Mji wa serikali.

Pili barabara tuu za Mji wa serikali km 51 ,Mwanza hakuna .

Mwisho hata square meters za Dom ni kubwa kuliko Mwanza
 
dodoma vs mwanza kwa 3-0 nakukatalia baharia kwa sababu ya ukame na hali ya hewa...mwanza a place unakaa kwa kurelax hakuna shida ya maji wala hutoskia ukame
kitu ingine hakuna mahali unaweza kula samaki fresh watamu kuliko rock siree
enjoyment kote zipo sema kasi ya ukuaji wa dodoma ni obvious kuna vitu itaipita mwanza ila for nw still mwanza ipo juu labda miaka kadhaa mbele huko...
 
Hata Mimi nimeiona sema nimemkaushia tu, ni ile ya roundabout ambayo kuna Kama mawe yamepangwa,[emoji23]
 
Wambie waende isela,ilalila,kishiri,nyamadoke,kiseke,igombe,kitangiri,bwiru, sweya NK
 
Tunaweza pata aerial view au hata low oblique photo ya mji wote wa dodoma ili tuthibitishe unachokisema?
 
In Short Dodoma Bado sana , huwezi Linganisha na Jiji la Mwanza
 
Hahhaah yani dodoma mmechanganyikiwa yani mmeanzisha ligi mpaka kwa Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23]
Dom sio level ya Mwanza,Nairobi yote katafute Ring road ambayo ni dual carriage yenye km 110,ukiipata nitag 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…