Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

K
Hii ni mwanza, Leta picha Kama hii hapo dodoma tuone, View attachment 2080478
Huyo jamaa alikuwa anatuma picha za Dodoma lakini cha kushangaza kwenye hizo picha kulikuwa na picha za jiji letu pendwa la mwanza, pia anatuma na michoro badala ya kuweka picha halisi, kuilinganisha Mwanza na Dodoma ni upumbavu wa hali ya juu ata kama sehemu unaichukia. Asante sana kiongozi.
 
We jamaa bwana,ni vitu vingi Sana.

1.Mpangilio wa Jiji.

2.Residential apartments

3.Idadi ya majengo ya ghorofa both tall na ordinary.

4.Vyuo na taasisi za elimu.

5.Urefu na ubora Wa barabara.

6.Mapato ya Jiji.

7.The list is endless.
Mkuu samahani Ila ni Kama unataka kujitoa tu ufahamu yani kuna kitu hapo unaona mwanza inazidiwa na dodoma! Sawa tuanze na mpangilio wa jiji susha vitu, picha ndo itakuwa vizuri zaidi usiweke renders
 
Mkuu samahani Ila ni Kama unataka kujitoa tu ufahamu yani kuna kitu hapo unaona mwanza inazidiwa na dodoma! Sawa tuanze na mpangilio wa jiji susha vitu, picha ndo itakuwa vizuri zaidi usiweke renders
Vitu gani,kwani hujui Dom ndio iko well planned kuliko Mji wowote Tzn? 80% is planned sasa nondo gani unataka?

Ndio maana unaona kuna ujenzi wa ma apartments kila sehemu ikiwemo Mji wa serikali.

Pili barabara tuu za Mji wa serikali km 51 ,Mwanza hakuna .

Mwisho hata square meters za Dom ni kubwa kuliko Mwanza
 
dodoma vs mwanza kwa 3-0 nakukatalia baharia kwa sababu ya ukame na hali ya hewa...mwanza a place unakaa kwa kurelax hakuna shida ya maji wala hutoskia ukame
kitu ingine hakuna mahali unaweza kula samaki fresh watamu kuliko rock siree
enjoyment kote zipo sema kasi ya ukuaji wa dodoma ni obvious kuna vitu itaipita mwanza ila for nw still mwanza ipo juu labda miaka kadhaa mbele huko...
 
K

Huyo jamaa alikuwa anatuma picha za Dodoma lakini cha kushangaza kwenye hizo picha kulikuwa na picha za jiji letu pendwa la mwanza, pia anatuma na michoro badala ya kuweka picha halisi, kuilinganisha Mwanza na Dodoma ni upumbavu wa hali ya juu ata kama sehemu unaichukia. Asante sana kiongozi.
Hata Mimi nimeiona sema nimemkaushia tu, ni ile ya roundabout ambayo kuna Kama mawe yamepangwa,[emoji23]
 
[emoji38][emoji38] tatizo haujaelewa ni nini namaanisha...?? mwanza watu wengi hasa wageni wanajua maeneo yaliyo jirani na barabara kuu ambayo kiuhalisia naweza sema ni asilimia 20 tu wengi wanaijua buhongwa kwa kuiangalia kutoka barabarani kisha wanafuata lami hadi mjini kati wanakula kona nata hadi kisesa au wanaanzia mji kati hadi ilemela kanisani kisha wanakuja kutengeneza Uzi hapa

Mtu anasema dodoma imepanuka sijui hadi wapi.. ninauhakika mleta uzi buhongwa tu au mkolani hazijui hata kwa 10% japo n maeneo yaliyo kando ya barabara kuu
Wambie waende isela,ilalila,kishiri,nyamadoke,kiseke,igombe,kitangiri,bwiru, sweya NK
 
Vitu gani,kwani hujui Dom ndio iko well planned kuliko Mji wowote Tzn? 80% is planned sasa nondo gani unataka?

Ndio maana unaona kuna ujenzi wa ma apartments kila sehemu ikiwemo Mji wa serikali.

Pili barabara tuu za Mji wa serikali km 51 ,Mwanza hakuna .

Mwisho hata square meters za Dom ni kubwa kuliko Mwanza
Tunaweza pata aerial view au hata low oblique photo ya mji wote wa dodoma ili tuthibitishe unachokisema?
 
Yako wapi [emoji38][emoji38][emoji38]
Haya hapa halafu ni mengi Sana asee yani kuweka mojamoja tutajichosha
JamiiForums433498762.jpg
 
In Short Dodoma Bado sana , huwezi Linganisha na Jiji la Mwanza
 
Back
Top Bottom