Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
K
Huyo jamaa alikuwa anatuma picha za Dodoma lakini cha kushangaza kwenye hizo picha kulikuwa na picha za jiji letu pendwa la mwanza, pia anatuma na michoro badala ya kuweka picha halisi, kuilinganisha Mwanza na Dodoma ni upumbavu wa hali ya juu ata kama sehemu unaichukia. Asante sana kiongozi.Hii ni mwanza, Leta picha Kama hii hapo dodoma tuone, View attachment 2080478