Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wewe siku hizi hunaga contents umeishiwa kilichobakia ni mihemko ya chuki [emoji16][emoji16]

Mapato ya ndani unasema Tamisemi,what a desperate creature
Leta ushahidi kuwa ni mapato ya ndani [emoji28][emoji28][emoji28]
miradi mikubwa ya halmashauri Huwa inafadhiliwa na serikali,,,acha utoto bas ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukua kwa mji ni pamoja na idadi ya watu na miundo mbinu, Mwanza ni pana sana kuluko Dodoma,watu ni wengi sana ingawa haipata support kubwa ya serikali kupanua miundo mbinu ya jiji,lakini kwa strategic location yake Eneo la maziwa makuu Mwanza haishikiki,lakini kisiasa kitendo cha serikali na Bunge kuhamia hapo ikiwemo ikulu itabidi kulazimisha ichukue no 2 kwa Dar.
 
Sapoti kubwa ipi unayoitaka wewe? Mwezi ujao mzizi wa fitina unakatwa tutakuwa idadi ya watu Kila Mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…