Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wivu as normal [emoji28][emoji28].huo ni mtaa ni nje kidogo ya mji km 13 Toka town .Na hauwezi fanana na utopolo wowote hapo zizini dodoma
[emoji116][emoji116]
Nyamhongolo is on [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2530028

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku kapicha hako hako 🤪🤪🤪😁😁😁.

Dom is way forward than your huge Kijiji
 
Daraja la Busisi kubwa Afrika Mashariki, Daraja la SGR mjini, Meli kubwa Afrika Mashariki,upanuzi wa jengo la abiria, barabara njia 4 kuingia mjini,Hosp ya rufaa Bugando, kisiwa cha saa 8. Hivi vinaenda kubadili sana Mwanza soon. Tatizo la Mwanza ni ukosefu ya uwanja wa ndege wa kimataifa ambao miaka takribani 20 umeachwa kuwa banda bovu kiasi cha kufubaisha jiji.
 
Daraja la Busisi kubwa Afrika Mashariki, Daraja la SGR mjini, Meli kubwa Afrika Mashariki,upanuzi wa jengo la abiria, barabara njia 4 kuingia mjini,Hosp ya rufaa Bugando, kisiwa cha saa 8. Hivi vinaenda kubadili sana Mwanza soon.
Leta hii keep left hapo Mwanza.

Dodoma ni chafu kupindukia, jiji ambalo ni capital ya nchi mpaka leo watu wake wanajisaidia kwenye vichaka vya stand ya 77 pembezoni mwa Dodoma Sec School!!

Mitaro michafu inanuka mikojo

Stand kuu vyoo vimeziba hakuna matengenezo na vimewekewa vidumu vya mafuta ya alizeti

We acha kuponda kitu usichokijua unadhani ni Nyegezi? Ile pale ni airport mzee nenda ukazubae upige na picha ukawaoneshe wenzio huko kijijini mabatini stendi luxury zinafananaje na siyo unatembelea stendi za vichochoroni za hiace kuja kutupigia makelele hapa hili tujue walahu maishani mwako ulishaonja utamu wa jiji kwa kufika 77 bila kupotea.
 
Sabasaba Kuna airport [emoji28][emoji28]au unalopoka tu hata dodoma huijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daraja la Busisi kubwa Afrika Mashariki, Daraja la SGR mjini, Meli kubwa Afrika Mashariki,upanuzi wa jengo la abiria, barabara njia 4 kuingia mjini,Hosp ya rufaa Bugando, kisiwa cha saa 8. Hivi vinaenda kubadili sana Mwanza soon.

Kutaja taja miradi mingi isiyo na manufaa hakufanyi muipite Dom, Cha kwanza suala la barabara njia 4 ni ndoto, hospitali ya Bugando na saa nane yenu hiyo kwani hazipo bado? Na hako kadaraja ambako manufaa yake ni yakuunga-unga tu na kamba kisa mwenda zake alitanguliza mihemko ya kukajenga kwa ajili ya wanachato, sasa daraja la SGR litaongeza nini kwenye GDP afu ako kameli kamoja unaisi ndo katafanya mitaa ya mabanda pale milimani ipate vyoo?
 
Kumbe we taira hiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukua kwa mji ni pamoja na idadi ya watu na miundo mbinu, Mwanza ni pana sana kuluko Dodoma,watu ni wengi sana ingawa haipata support kubwa ya serikali kupanua miundo mbinu ya jiji,lakini kwa strategic location yake Eneo la maziwa makuu Mwanza haishikiki,lakini kisiasa kitendo cha serikali na Bunge kuhamia hapo ikiwemo ikulu itabidi kulazimisha ichukue no 2 kwa Dar.
Dodoma hailazimishi kuwa namba 2 baada ya Dar bali ni namba 2 tiyari isipokuwa Mwanza ndiyo inalazimishwa iendelee kung'ang'ania kuwa namba 2 hata kama imeshakula knock out na kulia-lia kote kama watoto wa kambo akusaidii chochote serikali na sekta binafsi haziwezi kukoma kuwekeza penye potential kama Idodomya.

Dodoma ni mji wenye future promising sana achilia mbali fursa zilizopo na vibe zakutosha, hivi ni nani mwenye akili zake sawa utamshawishi asiwekeze hela zake kwenye jiji lililopangiliwa,lenye miundombinu mingi ya ulimwengu wa kwanza, huduma za msingi kuanzia ngazi ya chini hadi kitaifa, estates kali, viwanda n.k eti aache Dom aje Mwanza kushangaa ziwa.
 
Wew umewekeza dodoma?.tuanze hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kama nimewekeza na wewe unatamani uhamie mjini au unahitaji picha nzuri za Dodoma ukawaringishie wanamwanza.
Basi nakuachia zawadi hii murua kutoka makao makuu
Screenshot_20230228-224949~3.jpg
Screenshot_20230228-224826~2.jpg
Screenshot_20230228-224057~2.jpg
 
Kutaja taja miradi mingi isiyo na manufaa hakufanyi muipite Dom, Cha kwanza suala la barabara njia 4 ni ndoto, hospitali ya Bugando na saa nane yenu hiyo kwani hazipo bado? Na hako kadaraja ambako manufaa yake ni yakuunga-unga tu na kamba kisa mwenda zake alitanguliza mihemko ya kukajenga kwa ajili ya wanachato, sasa daraja la SGR litaongeza nini kwenye GDP afu ako kameli kamoja unaisi ndo katafanya mitaa ya mabanda pale milimani ipate vyoo?
Hivi huwa unahumia na Mwanza ukiwa wapi? Kila mada zako lazima uitaje Mwanza.
 
Dodoma hailazimishi kuwa namba 2 baada ya Dar bali ni namba 2 tiyari isipokuwa Mwanza ndiyo inalazimishwa iendelee kung'ang'ania kuwa namba 2 hata kama imeshakula knock out na kulia-lia kote kama watoto wa kambo akusaidii chochote serikali na sekta binafsi haziwezi kukoma kuwekeza penye potential kama Idodomya.

Dodoma ni mji wenye future promising sana achilia mbali fursa zilizopo na vibe zakutosha, hivi ni nani mwenye akili zake sawa utamshawishi asiwekeze hela zake kwenye jiji lililopangiliwa,lenye miundombinu mingi ya ulimwengu wa kwanza, huduma za msingi kuanzia ngazi ya chini hadi kitaifa, estates kali, viwanda n.k eti aache Dom aje Mwanza kushangaa ziwa.
Punguza mihemko na chuki leta fact, ni kitu gani kinachovutia mtu kuwekeza dodoma kuliko Mwanza, hilo jiji la dodoma linavyoharibu pesa za serikali lakini hakuna mabadiliko ya kutisha miji mingine, je hizo ngivu wangewekeza ata singida hakika singida ingekuwa kama capetown, serikali inatumia nguvu kubwa sana hapo lakini hakuna mtu anayetaka kuishi hapo.
 
Back
Top Bottom