Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Niitie Ngosha mashine.Niongezee kwenye benk .
Kuna FNB ,banc ABC ,access bank,NCBA ,Bank of Africa,na ecobank ...hizi hazipo DODOMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niitie Ngosha mashine.Niongezee kwenye benk .
Kuna FNB ,banc ABC ,access bank,NCBA ,Bank of Africa,na ecobank ...hizi hazipo DODOMA
Hivi huo mradi wa ghorofa 33+ hapo makoroboi umeshaanza mkuu?Mliopo Dodoma tafuteni mafundi ujenzi au yeyote anaejihusisha na masuala ya ujenzi muulize kuhusu kasi ya ujenzi Dom, mm nina mafundi niliwatoa Dar, Mwanza na Arusha sasa hivi 60% wamesharudi makwao kazi hakuna watu hawajengi tena kwa kasi ile ya 2017, baadhi ya wasiojua wanamweka Dr Samia hapa eti wafanyakazi wamerudi Dar
Mnaweza kutuambia ni nani karudi Dar? Maana hata Mtumba JPM kaondoka kuna ghorofa mbili tu ya TARURA na TAMISEMI, zile ghorofa zote zimeanza kujengwa na mama hebu jaribu kufikiria katikati ya mji Dom bado ina viwanja kutoka Morena ukiwa unatembea kuelekea CBE hapo kati kuna kipori, Makole yote ile ipo wazi, Kiwanja cha kula bata maarufu ni kimoja tu kilichopo pale Emausi karibu na jengo la GSM Capital city mall nimesahau jina lake
Tunavyoongea mda huu nipo Mwanza naona tofauti kabisa hapa Mwanza mda huu majengo ndio yanaamuka na sio serikali ni watu binafsi, hivi mnajua kama Makoroboi kuna mzigo wa ghorofa 33 kwenda juu unajengwa
Uwekezaji wa Mwanza ni wa sekta binafsi kwa kiasi kikubwa na sababu ni uwepo wa fursa nyingi za biashara mfano uvuvi, madini, kilimo nk, mnaweza kutuambia Dom zaidi ya uwekezaji wa real estate kwa ajiri ya wafanuakazi wa serikali ambao nao tayari wameshajitosheleza ni nn kinhine mwekezaji anaweza kufanya Dom?
Hebu angalia huu uwekezaji kwa Mwanza,,
Afya Mwanza ina mahospitali mengi zaidi ya private kuliko Dodoma Uhuru hospital, Agha Khan, Bugando, kuna moja ipo kona ya bwiru na sasa hivi wanajenga jengo kubwa la ghorofa 9 lipo mtaa wa Ghana jirani na Olympic
Benki ngoja nitaje tu zilizopo Mwanza ambazo Dom hazipo Standard Chaterd, KCB,, Stanbic
Viwanda, Pepsi Kolakola, TBL, SBT hapa nitaje hivyo tu lkn najua mnaijua vizuri Nyakato Industry Area maana kufikia mnaiongelea Mwanza mmeshafika
Usafiri Dom ina kampuni za mabasi kama nne au tano tu kubwa Kimbinyiko, Shabib, Satco, na wengine wengine wadogo kina Brightline wenye vigari viwili viwili,, unataka nitaje kampuni za Mwanza???? ,😎😎😎😎
Hivi mnaijua Rwagasore nyie kuhusu maduka makubwa ,,, kuna siku nilipata tenda ya kufanya finishing Dom mitaa ya Chadulu jirani na Pestana Pup kawaida yangu natumia rangi za master nilishaangaa Dom yote muuzaji ni mmoja tu Abuu Marangi na ndo mfanyabiashara mkubwa akifuatiwa na Ngozi
Hivi mnapataga ujasiri wapi wa kuifananisha Dom na jiji la Miamba?
Idadi ya watu kwa mjibu wa Sensa ya watu na makazi Dom yote kama mkoa inazidiwa watu na Tabora
Sa hv hayupo online..tutampata tuNiitie Ngosha mashine.
Ulivovitaja baadhi vinapatikana Dodoma sehem gani yaani viwanja vya kisasa vya ndege, stadiums, Arena, Malls zipi kama tu capital city mall haioni ndani hata kidogo kwa Rock City Shopping and More, Stand ipi maana hata kwa Nyamhongolo achilia mbali Nyegezi hamuingii kwa ile ya nane nane, Mahotel ya kisasa, real estates are everywhere, masoko yapi mmeizidi Mwanza, Maghorofa thank you to the wizaras, hospital hapa ndo hata hamuoni kwa Mwanza, SGR sidhani kama ni kitu cha kujisifu wakati unajua kwa Dodoma inapita tu the destination being Mwanza, brt kwa population gani [emoji28], nakadhalika na kadhalikaKuna mtu anaweza kuumizwa na jiji la ovyo kama Mwanza lenye ndoto ambayo haitokaa itimie ya siku moja kuja kuwa na lami kali mitaani za njia nne zaidi ya moja kama Dodoma, viwanja vya kisasa vya ndege,gardens, stadiums, Arena, malls, stendi,vyuo vikuu, viwanda,cities ndani ya city, makazi bora na ya kisasa, planned infrastructure and superstructure, SGR, mahoteli ya kisasa, real estates zakutosha, masoko, maghorofa kila kona yanayochomoza, hospitali za kisasa, brt,reli za umeme za mjini, nakadhalika nakadhalika..
Mwanza kashindane huko na kisumu miji ya uvuvi ambayo haijaendelea muwe na ndoto moja ya kujenga mitumbwi mikubwa ya uvuvi ndio ligi yenu.
Hakika jamaa anaichambua dodoma kama wachambuzi wa mpira wanavyochambua teams.Sa hv hayupo online..tutampata tu
Hivi mnajua kwamba Makoroboi Kuna mzigo wa gorofa 33 kwenda Juu inajengwa,😜😜😜😜😜🤣 No picha no renderMliopo Dodoma tafuteni mafundi ujenzi au yeyote anaejihusisha na masuala ya ujenzi muulize kuhusu kasi ya ujenzi Dom, mm nina mafundi niliwatoa Dar, Mwanza na Arusha sasa hivi 60% wamesharudi makwao kazi hakuna watu hawajengi tena kwa kasi ile ya 2017, baadhi ya wasiojua wanamweka Dr Samia hapa eti wafanyakazi wamerudi Dar
Mnaweza kutuambia ni nani karudi Dar? Maana hata Mtumba JPM kaondoka kuna ghorofa mbili tu ya TARURA na TAMISEMI, zile ghorofa zote zimeanza kujengwa na mama hebu jaribu kufikiria katikati ya mji Dom bado ina viwanja kutoka Morena ukiwa unatembea kuelekea CBE hapo kati kuna kipori, Makole yote ile ipo wazi, Kiwanja cha kula bata maarufu ni kimoja tu kilichopo pale Emausi karibu na jengo la GSM Capital city mall nimesahau jina lake
Tunavyoongea mda huu nipo Mwanza naona tofauti kabisa hapa Mwanza mda huu majengo ndio yanaamuka na sio serikali ni watu binafsi, hivi mnajua kama Makoroboi kuna mzigo wa ghorofa 33 kwenda juu unajengwa
Uwekezaji wa Mwanza ni wa sekta binafsi kwa kiasi kikubwa na sababu ni uwepo wa fursa nyingi za biashara mfano uvuvi, madini, kilimo nk, mnaweza kutuambia Dom zaidi ya uwekezaji wa real estate kwa ajiri ya wafanuakazi wa serikali ambao nao tayari wameshajitosheleza ni nn kinhine mwekezaji anaweza kufanya Dom?
Hebu angalia huu uwekezaji kwa Mwanza,,
Afya Mwanza ina mahospitali mengi zaidi ya private kuliko Dodoma Uhuru hospital, Agha Khan, Bugando, kuna moja ipo kona ya bwiru na sasa hivi wanajenga jengo kubwa la ghorofa 9 lipo mtaa wa Ghana jirani na Olympic
Benki ngoja nitaje tu zilizopo Mwanza ambazo Dom hazipo Standard Chaterd, KCB,, Stanbic
Viwanda, Pepsi Kolakola, TBL, SBT hapa nitaje hivyo tu lkn najua mnaijua vizuri Nyakato Industry Area maana kufikia mnaiongelea Mwanza mmeshafika
Usafiri Dom ina kampuni za mabasi kama nne au tano tu kubwa Kimbinyiko, Shabib, Satco, na wengine wengine wadogo kina Brightline wenye vigari viwili viwili,, unataka nitaje kampuni za Mwanza???? ,😎😎😎😎
Hivi mnaijua Rwagasore nyie kuhusu maduka makubwa ,,, kuna siku nilipata tenda ya kufanya finishing Dom mitaa ya Chadulu jirani na Pestana Pup kawaida yangu natumia rangi za master nilishaangaa Dom yote muuzaji ni mmoja tu Abuu Marangi na ndo mfanyabiashara mkubwa akifuatiwa na Ngozi
Hivi mnapataga ujasiri wapi wa kuifananisha Dom na jiji la Miamba?
Idadi ya watu kwa mjibu wa Sensa ya watu na makazi Dom yote kama mkoa inazidiwa watu na Tabora
Kiufupi ushanyoosha mikono ,ngosha kakunyoosha vilivyo ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....sa hv ni unarusha teke la punda anayekufa [emoji28][emoji28]..a kick of dying horse [emoji28][emoji28]Hivi mnajua kwamba Makoroboi Kuna mzigo wa gorofa 33 kwenda Juu inajengwa,[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787] No picha no render
Maneno yoote hapo Juu yanasalia kuwa ni blaa blaa..
Usisahau GDP ya Mwanza ni 12 vs ya Dodoma 3.1 so kwenye maelezo Yako hapo hakuna jipya..
Ila tunarudi kule kule kwamba uwekezaji wa Serikali ni muhimu Kwa Ajili ya kuchenjua uchumi wa Dodoma na hata kama Kasi ya ukuaji wa Jiji la Dom sio sawa na Mwanza ila Dom inakua na inakwenda Vizuri..
Hao wanaolalamika wako sahihi Kwa sababu Wengi wa Watumishi tayari wameshapata sehemu za makazi so kilichobakia ni natura growth ya Jiji ambayo inaamuliwa na population.
Kila Mji ushinde mechi zake,Mwanza private sector na Dom Public sector maana zinatakiwa Til.20 zimwagwe Dom pekee Hadi kukamilisha miundombinu ya kiserikali inayotakiwa..
Majengo ya Serikali yaliyopo Sasa hivi Kwa Dom hayajafika hata nusu ya yanayotakiwa kujengwa so Dom itaendelea kutembeza moto Kwa Mwanza kama kawaida..
Mwisho Kama Mwanza inazidi Dom inakuwaje mapato ya Dom ni mara mbili ya Mwanza? View attachment 2533714
Mbona kama umeshajijibu kabisa kuwa Dodoma ni public sector na Mwanza ni private sector, je kati ya hizo sector mbili halmashauri zitakusanya sana mapato yao sehemu gani kati ya public na private? Pili uchumi wa dodoma kama ni 3.1 trillion kama ulivyoandika n Mwanza ni 12+ trillion we huoni kama Dodoma bado ina uchumi mdogo sana ni zaidi ya mara nne kwa Mwanza.Hivi mnajua kwamba Makoroboi Kuna mzigo wa gorofa 33 kwenda Juu inajengwa,😜😜😜😜😜🤣 No picha no render
Maneno yoote hapo Juu yanasalia kuwa ni blaa blaa..
Usisahau GDP ya Mwanza ni 12 vs ya Dodoma 3.1 so kwenye maelezo Yako hapo hakuna jipya..
Ila tunarudi kule kule kwamba uwekezaji wa Serikali ni muhimu Kwa Ajili ya kuchenjua uchumi wa Dodoma na hata kama Kasi ya ukuaji wa Jiji la Dom sio sawa na Mwanza ila Dom inakua na inakwenda Vizuri..
Hao wanaolalamika wako sahihi Kwa sababu Wengi wa Watumishi tayari wameshapata sehemu za makazi so kilichobakia ni natura growth ya Jiji ambayo inaamuliwa na population.
Kila Mji ushinde mechi zake,Mwanza private sector na Dom Public sector maana zinatakiwa Til.20 zimwagwe Dom pekee Hadi kukamilisha miundombinu ya kiserikali inayotakiwa..
Majengo ya Serikali yaliyopo Sasa hivi Kwa Dom hayajafika hata nusu ya yanayotakiwa kujengwa so Dom itaendelea kutembeza moto Kwa Mwanza kama kawaida..
Mwisho Kama Mwanza inazidi Dom inakuwaje mapato ya Dom ni mara mbili ya Mwanza? View attachment 2533714
Fala la kwanza ni wewe ,eti Kwa vile kasapoti ego Yako unajua ndio kazi imeisha 😁😁Kuhusu dodoma,,wewe umemaliza kazi ,,,,atakayekubishia ni fala .[emoji91][emoji91][emoji91][emoji120]
Maneno ya zita zita hayatakusaidia , Dom inakwenda na sekta zote 2,public na private ndio maana inawanyeaMbona kama umeshajijibu kabisa kuwa Dodoma ni public sector na Mwanza ni private sector, je kati ya hizo sector mbili halmashauri zitakusanya sana mapato yao sehemu gani kati ya public na private? Pili uchumi wa dodoma kama ni 3.1 trillion kama ulivyoandika n Mwanza ni 12+ trillion we huoni kama Dodoma bado ina uchumi mdogo sana ni zaidi ya mara nne kwa Mwanza.
KCB wanafungua tawi jipya Mwanza? Mbona hii bank ndio naitumia toka kitambo tu.Fala la kwanza ni wewe ,eti Kwa vile kasapoti ego Yako unajua ndio kazi imeisha 😁😁
Kwanza banks alizotaja Sina hakika kama hazipo ila mwaka huu KCB wanafungua matawi 6 Tanzania possibly Dom,Tanga,Mbeya na kuongeza mengine Dar,Mwanza na Arusha..
Kuhusu viwanda mwambie akutafutie kiwanda Cha Mbolea pekee Tanzania hapo Mwanza.
Jibu maswali yangu acha ujingaManeno ya zita zita hayatakusaidia , Dom inakwenda na sekta zote 2,public na private ndio maana inawanyea View attachment 2533723
Ninyooshe Kwa blaa blaa au Kwa kuonesha vitu vivid? Dom is next level kama mnalia lia mkidhani eti mtapunua aisee sahauni Kuna km 200 za dual carriage 50 km Kila upande hazijaanza hapo Dom 🤪🤪Kiufupi ushanyoosha mikono ,ngosha kakunyoosha vilivyo ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....sa hv ni unarusha teke la punda anayekufa [emoji28][emoji28]..a kick of dying horse [emoji28][emoji28]
Maswali gani?Jibu maswali yangu acha ujinga
Unakoment bila kusoma?Maswali gani?
Acha kukurupuka wewe KCB Ina matawi 15 Tzn nimekwambia Mikoa 3 watafungua matawi mapya na hiyo mingine wataongeza branches.KCB wanafungua tawi jipya Mwanza? Mbona hii bank ndio naitumia toka kitambo tu.
Wewe unakurupuka ndio una comment Rudi kwenye maelezo yangu kuhusu kcbUnakoment bila kusoma?
Nenda kwenye maswali niliyokuuliza ili twende mdogo mdogo.Acha kukurupuka wewe KCB Ina matawi 15 Tzn nimekwambia Mikoa 3 watafungua matawi mapya na hiyo mingine wataongeza branches.
Kati ya public sectors na private sectors ni wapi halmashauri wanakusanya sana kodi?Wewe unakurupuka ndio una comment Rudi kwenye maelezo yangu kuhusu kcb
Kwanza Hakuna Public sector ambako Halmashauri wanakusanya mapato haipo,mapato yote ni from private sector sector..Kati ya public sectors na private sectors ni wapi halmashauri wanakusanya sana kodi?