Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hivi huo mradi wa ghorofa 33+ hapo makoroboi umeshaanza mkuu?
 
Ulivovitaja baadhi vinapatikana Dodoma sehem gani yaani viwanja vya kisasa vya ndege, stadiums, Arena, Malls zipi kama tu capital city mall haioni ndani hata kidogo kwa Rock City Shopping and More, Stand ipi maana hata kwa Nyamhongolo achilia mbali Nyegezi hamuingii kwa ile ya nane nane, Mahotel ya kisasa, real estates are everywhere, masoko yapi mmeizidi Mwanza, Maghorofa thank you to the wizaras, hospital hapa ndo hata hamuoni kwa Mwanza, SGR sidhani kama ni kitu cha kujisifu wakati unajua kwa Dodoma inapita tu the destination being Mwanza, brt kwa population gani [emoji28], nakadhalika na kadhalika

Anyways i stand to be corrected
 
Hivi mnajua kwamba Makoroboi Kuna mzigo wa gorofa 33 kwenda Juu inajengwa,😜😜😜😜😜🤣 No picha no render
Maneno yoote hapo Juu yanasalia kuwa ni blaa blaa..

Usisahau GDP ya Mwanza ni 12 vs ya Dodoma 3.1 so kwenye maelezo Yako hapo hakuna jipya..

Ila tunarudi kule kule kwamba uwekezaji wa Serikali ni muhimu Kwa Ajili ya kuchenjua uchumi wa Dodoma na hata kama Kasi ya ukuaji wa Jiji la Dom sio sawa na Mwanza ila Dom inakua na inakwenda Vizuri..

Hao wanaolalamika wako sahihi Kwa sababu Wengi wa Watumishi tayari wameshapata sehemu za makazi so kilichobakia ni natura growth ya Jiji ambayo inaamuliwa na population.

Kila Mji ushinde mechi zake,Mwanza private sector na Dom Public sector maana zinatakiwa Til.20 zimwagwe Dom pekee Hadi kukamilisha miundombinu ya kiserikali inayotakiwa..

Majengo ya Serikali yaliyopo Sasa hivi Kwa Dom hayajafika hata nusu ya yanayotakiwa kujengwa so Dom itaendelea kutembeza moto Kwa Mwanza kama kawaida..

Mwisho Kama Mwanza inazidi Dom inakuwaje mapato ya Dom ni mara mbili ya Mwanza?
 
Kiufupi ushanyoosha mikono ,ngosha kakunyoosha vilivyo ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....sa hv ni unarusha teke la punda anayekufa [emoji28][emoji28]..a kick of dying horse [emoji28][emoji28]
 
Mbona kama umeshajijibu kabisa kuwa Dodoma ni public sector na Mwanza ni private sector, je kati ya hizo sector mbili halmashauri zitakusanya sana mapato yao sehemu gani kati ya public na private? Pili uchumi wa dodoma kama ni 3.1 trillion kama ulivyoandika n Mwanza ni 12+ trillion we huoni kama Dodoma bado ina uchumi mdogo sana ni zaidi ya mara nne kwa Mwanza.
 
Kuhusu dodoma,,wewe umemaliza kazi ,,,,atakayekubishia ni fala .[emoji91][emoji91][emoji91][emoji120]
Fala la kwanza ni wewe ,eti Kwa vile kasapoti ego Yako unajua ndio kazi imeisha 😁😁

Kwanza banks alizotaja Sina hakika kama hazipo ila mwaka huu KCB wanafungua matawi 6 Tanzania possibly Dom,Tanga,Mbeya na kuongeza mengine Dar,Mwanza na Arusha..

Kuhusu viwanda mwambie akutafutie kiwanda Cha Mbolea pekee Tanzania hapo Mwanza.
 
Maneno ya zita zita hayatakusaidia , Dom inakwenda na sekta zote 2,public na private ndio maana inawanyea
 
KCB wanafungua tawi jipya Mwanza? Mbona hii bank ndio naitumia toka kitambo tu.
 
Kiufupi ushanyoosha mikono ,ngosha kakunyoosha vilivyo ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....sa hv ni unarusha teke la punda anayekufa [emoji28][emoji28]..a kick of dying horse [emoji28][emoji28]
Ninyooshe Kwa blaa blaa au Kwa kuonesha vitu vivid? Dom is next level kama mnalia lia mkidhani eti mtapunua aisee sahauni Kuna km 200 za dual carriage 50 km Kila upande hazijaanza hapo Dom 🤪🤪

Zaidi ya taasisi 120 Bado hazijaanza kujenga HQ zao hapo na zote ni magorofa.

Uwanja na arena loading , kiufupi hakuna siku Dom itawapa nafasi ya kupumua.
 
Kati ya public sectors na private sectors ni wapi halmashauri wanakusanya sana kodi?
Kwanza Hakuna Public sector ambako Halmashauri wanakusanya mapato haipo,mapato yote ni from private sector sector..

So Kwa kuwa Dom inakusanya mapato mengi kuliko Mwanza jibu ni kwamba private sector ya Dom is well developed kuliko Mwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…