Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwanza usagara na isesa sio sehemu ya Jiji la Mwanza,ni kama vile unasema kukatiza Jiji la Mbeya kutoka Mbalizi hadi Igurusi ambako ni km 60 iwe Mbeya Jiji.
Usagara ndiyo mpaka wa Jiji la Mwanza na Misungwi. Sasa jamaa toka Uyole mpaka Igurusi si vijiji mtupu. Eeh kama Arusha toka USA mpaka Kikatiti mashamba tupu
 
aliyeijenga dodoma ni magu baada ya kuhamishia serikali dodoma ndio akaelekeza nguvu zake uko ila kwa sasa hayupo serikali inarudi tena dar kwaiyo waliowekeza dodoma sasa akili inawarudia
 
aliyeijenga dodoma ni magu baada ya kuhamishia serikali dodoma ndio akaelekeza nguvu zake uko ila kwa sasa hayupo serikali inarudi tena dar kwaiyo waliowekeza dodoma sasa akili inawarudia
wenzio wamejaribu kuishindanisha mwanza na arusha ...wewe unakuja kuilinganisha mwanza na kijiji hiko
 
We mgogo hizo data za kuwa Dodoma inakua haraka kuliko Mwanza sijui umezitoa wapi
 
lile soko au kijisoko? wameshakifungua lakin hamna soko pale ..... bora hata soko la chief kingalu morogoro kuliko kisoko cha ndugai!
Acheni ushambenga lile soko limeprojectiwa kwa ajili ya malengo ya baadae pale lilipo ni mbali mno na city center but project zote za mitaa ile zikiisha ule mtaa hautomachi na mtaa wowote tz isitoshe kule ndo kutakuwa kama city center yenyewe ijayo ya Dodoma sasa bakini mkizubaa hapo kulinganisha Dodoma na vijiji
 
Barabara 4 km 50 kila upande ni vitu vya kusadikika, Dodoma sasa hivi imekufa kifo cha Mende.
Miradi yote iliyopo kwa sasa ni ile ilianzishwa wakati wa Magufuli, kuna siku utakumbuka kauli yangu. Muda utaongea
 
Acha ndoto basi Mkuu.
 
aliyekuwa anaifanya dodoma ikue ndio amesha pass sasa kwaiyo dodoma itarudi kama zaman? ndio jini pekee linaloongoza kwa ugonjwa wa macho na watu wake kuombaomba! dodoma oyeeeeee
Hakuna cha aliyekuwa anaifanya... Dodoma ni jiji lenye hadhi yake Wananchi na serikali wote wanashirikiana kupaendeleza na kwa taarifa yako ujenzi wa Dodoma kwa serikali siyo hiyari ni lazima na mpaka sasa ujenzi hausimami wanaendelea na ujenzi mchana na usiku na kila mwaka bajeti lazima itengwe hapana chezea makao makuu ya nchi
 
sasa hivi mpaka viongozi wa nchi wanapakimbia Dodoma halafu useme kule kijijini kuje kuwe Center nani ajenge porini hivyo
 
Miradi ya Magufuli ikiisha Dodoma chali.
Na sasa hivi watu wamepunguza kasi ya kudemand viwanja kama ilivyokuwa awali.
 
Watu wa Dodoma muache kujichetua, sasa mbona mna maneno mengi lakini hamji na evidence, leteni Basi hata picha za huo mji wenu tusadiki hayo maneno yenu mbona ni blah blah tu, mara arena, mara airport, Mara majengo marefu.... Sasa si muyalete hapa tuyaone hata Kama ziko hatua za mwanzo za ujenzi nyie leteni
 
Barabara 4 km 50 kila upande ni vitu vya kusadikika, Dodoma sasa hivi imekufa kifo cha Mende.
Miradi yote iliyopo kwa sasa ni ile ilianzishwa wakati wa Magufuli, kuna siku utakumbuka kauli yangu. Muda utaongea
Duu pole,tega sikia mwezi wa 4 kwenye bajeti
 
aliyeijenga dodoma ni magu baada ya kuhamishia serikali dodoma ndio akaelekeza nguvu zake uko ila kwa sasa hayupo serikali inarudi tena dar kwaiyo waliowekeza dodoma sasa akili inawarudia
Dar ipi inayorudi? Sasa kama inarudi umeona lini serikali imeacha kujenga? Pole Sana endelea kujifariji👇

Usagara ndiyo mpaka wa Jiji la Mwanza na Misungwi. Sasa jamaa toka Uyole mpaka Igurusi si vijiji mtupu. Eeh kama Arusha toka USA mpaka Kikatiti mashamba tupu
Nimesema kutoka Mbalizi hadi Inyala,unapita uyole,kuna Vijijini gani unavijua wewe tutajie basi? Huo ni umbali wa km takribani 60..

Mwanza ishindane na Mbeya sio Dom
 
Nyie mnapambana tu kuleta renders ambazo infact hata mwanza zipo Tena nyingi mpaka renders za mahoteli yanayoelea majini hatuyaleti sababu tunajua hayana uhalisia, leteni vitu vyenye uhalisia tufanye comparison
 
Hawana chochote hawa zaidi ya ubishi.

Watu husema ukiwa karibu na uaridi nawe utanukia.
sasa wameleta hii Mada ili angalau waongelewe na wao wajione wakubwa kumbe kijiji tu.

wakati mwingine tumshauri afungue uzi wa Mbeya na Dodoma.

Mwanza is untouchable mazee.
Dar pekee ndo yuko mbele ya Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…