[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ndo unavyojifariji sio? Pole Sana Mzee,hiyo inaitwa Battle ot East African Capital Cities,Mwanza ni kijiji cha wavuvi hakina hadhi yoyote.
Pili aliyekwambia Dodoma inajengwa na Serikalini tuu ni nani? Ndio maana mumekariri ujinga kumbe mnapigwa za ugoko.
Kwa taarifa yako hakuna mradi uliosimama,pili unavyoona Dar inajengwa na both private and government ndivyo na Dom inajengwa hivyo hivyo.
Wakati wewe unasubilia kagorofa hako wenzio tunasubilia barabara za njia 4 km 50 kila upande to Arusha,Iringa,Singida na Morogoro..
Hakuna siku itakuja kutokea Jiji la Dom likaachwa kujengwa,saizi pale mjini Kati ni cranes tuu zinapandisha kokoto na sio Serikali bali private sector.
View attachment 2080865
View attachment 2080866
View attachment 2080867
View attachment 2080868
View attachment 2080870
View attachment 2080871