ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
πππππ€ͺπ€ͺπ€ͺHuwezi kuelewa Kwa sabbabu ushamba uko ndani yakk .mambo kama haya huwezi yaona mbeya ,Wala hapo staff town..Kwa ni miji ambayo Iko sleepy [emoji12][emoji28][emoji28]
Isitoshe huyo Afisa maziwa sijuhi milk mwenyewe amekaa-kaa kisukuma-sukuma kama wakuja vile hajui hata kutofautisha R na L na vi-investment vyenyewe vinavyonadiwa ni kichefuchefu yaani tukae hapa kudiscuss rock city kufungua baa kwa jina la casino uchwara na vitakataka.Kuwa na aibu basi,unatuwekea vitu vya ajabu ajabu Kwa nini lakini?
Kwa kujifariji na hivi vihoteli mshenzi vya nyota 3 hamjambo, sasa hapo cha ajabu nini? Ni hiyo lodge kuwa na zoo na hizo spa kama madimbwi ya kufugia mbu au?Tukisema dodoma ikae mbali na wakubwa bado inaleta kiburi ona sasa inavyopigwa za uso[emoji28][emoji28][emoji28]
Na vipi kuhusu jiji lenu mnalowinda kuwaua wasukuma wenzenu Albino na mnaongoza kwa kuugua kansa inayotokana na kunywa maji yenye [emoji90] [emoji90] [emoji90]Jiji lenye watu wengi wenye TRACHOMA[emoji5][emoji5]
Waambie kuwa Dom ilipofikia inawaza kuzalisha wines zenye thamani na hadhi kama pombe ya Russo Baltique vodka, per bottle $1.3 Million dollars hizo ndo level tunazotaka kufika na siyo hizo takataka za SA mpaka Tshs.3000 unapata, ambazo mangosha kwa ushamba wao wamekuwa wakitupumzikia nazo humu.[emoji3][emoji3]Jangwani alafu ndio wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu....East and Central Africa
Unaoji kuhusu ushago ambao hata kazuramimba au mwandiga ina unafuu mara 10Leta tupaone nyanguge
We jamaa acha ulofa unazungumzia mkoa au mipaka ya jiji, pili tambua Dodoma kama eneo la mji lazima liwe kubwa na litanuke zaidi kuliko jiji la wavuvi kwa kuwa hili ni jiji la kimkakati na makao makuu ya taasisi mbalimbali ikiwemo zile nyeti kama jeshi, ikulu n.k lakini pia eneo la taasisi za serikali ikiwemo wizara, eneo la makazi ya wafanyakazi,eneo la makazi ya wakazi, viwanda, maeneo ya wazi kwa ajili ya mapumziko na uhifadhi mazingira, maeneo ya shughuli za biashara na uwekezaji, maeneo ya uendelezaji na huduma muhimu za kijamii, viwanja vya ndege, mpira n.k, maeneo ya vyuo vikuu mfano UDOM pekee ime-occupy eneo kubwa sawa na robo ya jiji la miamba n.k hii yote ni kukuonesha kuwa Dodoma si level yenu wana-igogo slum town.Kwahiyo hao watu 400k mmewapanga kwenye 6000kmsq
Na Simu za kupigia picha tuwanunulie. Techno p3 photo quality.Aisee ebu rudisha picha ulipozitoa hii ni Dodoma kweli au Michigan isije kuwa umetushika...walisikika wasukuma wawili wakipinga [emoji91][emoji91] famchezo nini[emoji38][emoji38][emoji23][emoji1787]
Ndo upumbavu huo kutokuelewa investment kama hizo. Endeleeni kunywa wine mtakuja kushtuka serikali imewasusa. Na mshukru kupata favour za serikali mngefanya vumbi kuwa unga wenu. Watu wanapauka mpaka ulimi wagogo bhnana.Isitoshe huyo Afisa maziwa sijuhi milk mwenyewe amekaa-kaa kisukuma-sukuma kama wakuja vile hajui hata kutofautisha R na L na vi-investment vyenyewe vinavyonadiwa ni kichefuchefu yaani tukae hapa kudiscuss rock city kufungua baa kwa jina la casino uchwara na vitakataka.
HOTEL za dodoma ziko wapKwa kujifariji na hivi vihoteli mshenzi vya nyota 3 hamjambo, sasa hapo cha ajabu nini? Ni hiyo lodge kuwa na zoo na hizo spa kama madimbwi ya kufugia mbu au?
Nyie mna hata hotel ya nyota 0 ππππ. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.Kwa kujifariji na hivi vihoteli mshenzi vya nyota 3 hamjambo, sasa hapo cha ajabu nini? Ni hiyo lodge kuwa na zoo na hizo spa kama madimbwi ya kufugia mbu au?
Nimekuambia dodoma inanuka pombe kila mahali. Hivyo viwanda ni light duty ongelea heavy duty industries kama kiwanda Cha nondo chobo investment na nyakato steel industries, kiwanda Cha nguo mwatex, kiwanda Cha maji mwanza na sayona industries, kiwanda Cha soda coca cola plant, karakana kubwa east Africa ya ujenzi wa meli na ferries songoro marine n.k. unakaa hapa kututambia bidhaa Moja si ujinga huo. Kila siku wine wine karubanja wewe.Waambie kuwa Dom ilipofikia inawaza kuzalisha wines zenye thamani na hadhi kama pombe ya Russo Baltique vodka, per bottle $1.3 Million dollars hizo ndo level tunazotaka kufika na siyo hizo takataka za SA mpaka Tshs.3000 unapata, ambazo mangosha kwa ushamba wao wamekuwa wakitupumzikia nazo humu.
Huu ndiyo ujinga sasaUnaoji kuhusu ushago ambao hata kazuramimba au mwandiga ina unafuu mara 10
Acha porojo huwez sambaza mji kama unaanika Mahindi eti wizara na Hekaya zengne ambazo hazina msingi, km zote za jiji la Dodoma Urbanised area ikizidi 200kmsq nafunga account yangu ndo ujue Dodoma still ni kavillage flani, Seoul City ni mji wa kibiashara, makao ya nchi but still inaeneo la 610kmΒ² na 10pple wakat hiyo Gvt village ya tz ina over makmΒ² with 5% Urbanised area si ushuzi. Mwanza ina 546kmΒ² 100% Urbanised na maeneo mengne yapo nje still huez tofautisha kama ni yapo jiji au la toa porojo zako apaWe jamaa acha ulofa unazungumzia mkoa au mipaka ya jiji, pili tambua Dodoma kama eneo la mji lazima liwe kubwa na litanuke zaidi kuliko jiji la wavuvi kwa kuwa hili ni jiji la kimkakati na makao makuu ya taasisi mbalimbali ikiwemo zile nyeti kama jeshi, ikulu n.k lakini pia eneo la taasisi za serikali ikiwemo wizara, eneo la makazi ya wafanyakazi,eneo la makazi ya wakazi, viwanda, maeneo ya wazi kwa ajili ya mapumziko na uhifadhi mazingira, maeneo ya shughuli za biashara na uwekezaji, maeneo ya uendelezaji na huduma muhimu za kijamii, viwanja vya ndege, mpira n.k, maeneo ya vyuo vikuu mfano UDOM pekee ime-occupy eneo kubwa sawa na robo ya jiji la miamba n.k hii yote ni kukuonesha kuwa Dodoma si level yenu wana-igogo slum town.
Huyu undava ni kidimbwi kweli kweli. Inabidi tumfanyie brain surgery tumpandikize akili.Acha porojo huwez sambaza mji kama unaanika Mahindi eti wizara na Hekaya zengne ambazo hazina msingi, km zote za jiji la Dodoma Urbanised area ikizidi 200kmsq nafunga account yangu ndo ujue Dodoma still ni kavillage flani, Seoul City ni mji wa kibiashara, makao ya nchi but still inaeneo la 610kmΒ² na 10pple wakat hiyo Gvt village ya tz ina over makmΒ² with 5% Urbanised area si ushuzi. Mwanza ina 546kmΒ² 100% Urbanised na maeneo mengne yapo nje still huez tofautisha kama ni yapo jiji au la toa porojo zako apa
malizia kabisa chuo kikuu cha pili kwa ukubwa barani AfrikaChuo kikifunga hapo panakuwa Kijijini pote
Sasa mbona kila mda wine.Kumbe kiwanda cha mbolea,kiwanda cha Magodoro,kiwanda cha nyama,kiwanda cha soft drinks dipc Ntyuka n.k hivyo ni light industries sio heavy industries πππ