Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kuwa na aibu basi,unatuwekea vitu vya ajabu ajabu Kwa nini lakini?
Isitoshe huyo Afisa maziwa sijuhi milk mwenyewe amekaa-kaa kisukuma-sukuma kama wakuja vile hajui hata kutofautisha R na L na vi-investment vyenyewe vinavyonadiwa ni kichefuchefu yaani tukae hapa kudiscuss rock city kufungua baa kwa jina la casino uchwara na vitakataka.
 
Tukisema dodoma ikae mbali na wakubwa bado inaleta kiburi ona sasa inavyopigwa za uso[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kujifariji na hivi vihoteli mshenzi vya nyota 3 hamjambo, sasa hapo cha ajabu nini? Ni hiyo lodge kuwa na zoo na hizo spa kama madimbwi ya kufugia mbu au?
 
Jiji lenye watu wengi wenye TRACHOMA[emoji5][emoji5]
Na vipi kuhusu jiji lenu mnalowinda kuwaua wasukuma wenzenu Albino na mnaongoza kwa kuugua kansa inayotokana na kunywa maji yenye [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
[emoji3][emoji3]Jangwani alafu ndio wanaongoza kwa kilimo cha Zabibu....East and Central Africa
Waambie kuwa Dom ilipofikia inawaza kuzalisha wines zenye thamani na hadhi kama pombe ya Russo Baltique vodka, per bottle $1.3 Million dollars hizo ndo level tunazotaka kufika na siyo hizo takataka za SA mpaka Tshs.3000 unapata, ambazo mangosha kwa ushamba wao wamekuwa wakitupumzikia nazo humu.
 
Kwahiyo hao watu 400k mmewapanga kwenye 6000kmsq
We jamaa acha ulofa unazungumzia mkoa au mipaka ya jiji, pili tambua Dodoma kama eneo la mji lazima liwe kubwa na litanuke zaidi kuliko jiji la wavuvi kwa kuwa hili ni jiji la kimkakati na makao makuu ya taasisi mbalimbali ikiwemo zile nyeti kama jeshi, ikulu n.k lakini pia eneo la taasisi za serikali ikiwemo wizara, eneo la makazi ya wafanyakazi,eneo la makazi ya wakazi, viwanda, maeneo ya wazi kwa ajili ya mapumziko na uhifadhi mazingira, maeneo ya shughuli za biashara na uwekezaji, maeneo ya uendelezaji na huduma muhimu za kijamii, viwanja vya ndege, mpira n.k, maeneo ya vyuo vikuu mfano UDOM pekee ime-occupy eneo kubwa sawa na robo ya jiji la miamba n.k hii yote ni kukuonesha kuwa Dodoma si level yenu wana-igogo slum town.
 
Aisee ebu rudisha picha ulipozitoa hii ni Dodoma kweli au Michigan isije kuwa umetushika...walisikika wasukuma wawili wakipinga [emoji91][emoji91] famchezo nini[emoji38][emoji38][emoji23][emoji1787]
Na Simu za kupigia picha tuwanunulie. Techno p3 photo quality.
 
Isitoshe huyo Afisa maziwa sijuhi milk mwenyewe amekaa-kaa kisukuma-sukuma kama wakuja vile hajui hata kutofautisha R na L na vi-investment vyenyewe vinavyonadiwa ni kichefuchefu yaani tukae hapa kudiscuss rock city kufungua baa kwa jina la casino uchwara na vitakataka.
Ndo upumbavu huo kutokuelewa investment kama hizo. Endeleeni kunywa wine mtakuja kushtuka serikali imewasusa. Na mshukru kupata favour za serikali mngefanya vumbi kuwa unga wenu. Watu wanapauka mpaka ulimi wagogo bhnana.
 
Kwa kujifariji na hivi vihoteli mshenzi vya nyota 3 hamjambo, sasa hapo cha ajabu nini? Ni hiyo lodge kuwa na zoo na hizo spa kama madimbwi ya kufugia mbu au?
Nyie mna hata hotel ya nyota 0 😂😂😂😂. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.
 
Waambie kuwa Dom ilipofikia inawaza kuzalisha wines zenye thamani na hadhi kama pombe ya Russo Baltique vodka, per bottle $1.3 Million dollars hizo ndo level tunazotaka kufika na siyo hizo takataka za SA mpaka Tshs.3000 unapata, ambazo mangosha kwa ushamba wao wamekuwa wakitupumzikia nazo humu.
Nimekuambia dodoma inanuka pombe kila mahali. Hivyo viwanda ni light duty ongelea heavy duty industries kama kiwanda Cha nondo chobo investment na nyakato steel industries, kiwanda Cha nguo mwatex, kiwanda Cha maji mwanza na sayona industries, kiwanda Cha soda coca cola plant, karakana kubwa east Africa ya ujenzi wa meli na ferries songoro marine n.k. unakaa hapa kututambia bidhaa Moja si ujinga huo. Kila siku wine wine karubanja wewe.
 
We jamaa acha ulofa unazungumzia mkoa au mipaka ya jiji, pili tambua Dodoma kama eneo la mji lazima liwe kubwa na litanuke zaidi kuliko jiji la wavuvi kwa kuwa hili ni jiji la kimkakati na makao makuu ya taasisi mbalimbali ikiwemo zile nyeti kama jeshi, ikulu n.k lakini pia eneo la taasisi za serikali ikiwemo wizara, eneo la makazi ya wafanyakazi,eneo la makazi ya wakazi, viwanda, maeneo ya wazi kwa ajili ya mapumziko na uhifadhi mazingira, maeneo ya shughuli za biashara na uwekezaji, maeneo ya uendelezaji na huduma muhimu za kijamii, viwanja vya ndege, mpira n.k, maeneo ya vyuo vikuu mfano UDOM pekee ime-occupy eneo kubwa sawa na robo ya jiji la miamba n.k hii yote ni kukuonesha kuwa Dodoma si level yenu wana-igogo slum town.
Acha porojo huwez sambaza mji kama unaanika Mahindi eti wizara na Hekaya zengne ambazo hazina msingi, km zote za jiji la Dodoma Urbanised area ikizidi 200kmsq nafunga account yangu ndo ujue Dodoma still ni kavillage flani, Seoul City ni mji wa kibiashara, makao ya nchi but still inaeneo la 610km² na 10pple wakat hiyo Gvt village ya tz ina over makm² with 5% Urbanised area si ushuzi. Mwanza ina 546km² 100% Urbanised na maeneo mengne yapo nje still huez tofautisha kama ni yapo jiji au la toa porojo zako apa
 
Huyu undava ni kidimbwi kweli kweli. Inabidi tumfanyie brain surgery tumpandikize akili.
 
Kumbe kiwanda cha mbolea,kiwanda cha Magodoro,kiwanda cha nyama,kiwanda cha soft drinks dipc Ntyuka n.k hivyo ni light industries sio heavy industries 😂😂😂
 
Sasa mbona kila mda wine.
 
Back
Top Bottom