ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Dom 🔥 🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu hata kuleta wageni na kusema this is a capital city....[emoji15][emoji3062][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hapo ni baada ya kufinywa makende na Dom 😂😂😂Ni aibu hata kuleta wageni na kusema this is a capital city....[emoji15][emoji3062][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi DODOMA BOTHapo ni baada ya kufinywa makende na Dom [emoji23][emoji23][emoji23]
Majengo ya Hazina huwezi linganisha na hili sanamu lenu 🤪🤪Wapi DODOMA BOT
[emoji116][emoji116]
MWANZA CENTRAL BANK View attachment 2544929
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia hazina au nataka BOT ..hujui hata kutofautisha hazina na BOT ...[emoji28][emoji28][emoji28]. Rudi darasani kwanzaMajengo ya Hazina huwezi linganisha na hili sanamu lenu [emoji2957][emoji2957]
Mwanza Kuna Hazina ? 😂😂Nazungumzia hazina au nataka BOT ..hujui hata kutofautisha hazina na BOT ...[emoji28][emoji28][emoji28]. Rudi darasani kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui hazina ni wizara ya fedha ...stop being stupid..by the way Kuna subtreasury office ambayo Kila mkoa ipo .Mwanza Kuna Hazina ? [emoji23][emoji23]
Kama kawaida kotas..za walimu
Dom inner Ring Road loading 👍👍
Kuna watu wanatafuta pa kufichia aibu ya mavumbi ya kwao 🤪🤪
Dodoma si ujinga ujinga tu na promo ila hakuna Cha maana hapoHapo ni baada ya kufinywa makende na Dom 😂😂😂
Hazina ya nyoko senge wewe..Mwanza Kuna Hazina ? 😂😂
Mnahisi sisi ni nyie wa chuo kimoja ambao malimbe ikienda likizo jiji lote linalala mpaka na viwanja vinakosa vimwana mnaishia kuponea piru za kirumba chafu chafu zleChuo kikifunga hapo panakuwa Kijijini pote
We akili zako ushazihamishia nyuma huko ... kichwani Ni maziwa tu.....Mnahisi sisi ni nyie wa chuo kimoja ambao malimbe ikienda likizo jiji lote linalala mpaka na viwanja vinakosa vimwana mnaishia kuponea piru za kirumba chafu chafu zle
We jamaa umevurugwa na kuipenda Korea mpaka unajiita majina ya miji yao kiufupi usifananishe miji ya ulimwengu wa kwanza na vijiji kama Mwanza kisa ukubwa wa eneo la mji.Acha porojo huwez sambaza mji kama unaanika Mahindi eti wizara na Hekaya zengne ambazo hazina msingi, km zote za jiji la Dodoma Urbanised area ikizidi 200kmsq nafunga account yangu ndo ujue Dodoma still ni kavillage flani, Seoul City ni mji wa kibiashara, makao ya nchi but still inaeneo la 610km² na 10pple wakat hiyo Gvt village ya tz ina over makm² with 5% Urbanised area si ushuzi. Mwanza ina 546km² 100% Urbanised na maeneo mengne yapo nje still huez tofautisha kama ni yapo jiji au la toa porojo zako apa