Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom 🔥 🔥
eliasikavira_1678470720981595.jpg
eliasikavira_1678470720981188.jpg
 
Dom inner Ring Road loading 👍👍

Kuna watu wanatafuta pa kufichia aibu ya mavumbi ya kwao 🤪🤪


 
Chuo kikifunga hapo panakuwa Kijijini pote
Mnahisi sisi ni nyie wa chuo kimoja ambao malimbe ikienda likizo jiji lote linalala mpaka na viwanja vinakosa vimwana mnaishia kuponea piru za kirumba chafu chafu zle
 
Acha porojo huwez sambaza mji kama unaanika Mahindi eti wizara na Hekaya zengne ambazo hazina msingi, km zote za jiji la Dodoma Urbanised area ikizidi 200kmsq nafunga account yangu ndo ujue Dodoma still ni kavillage flani, Seoul City ni mji wa kibiashara, makao ya nchi but still inaeneo la 610km² na 10pple wakat hiyo Gvt village ya tz ina over makm² with 5% Urbanised area si ushuzi. Mwanza ina 546km² 100% Urbanised na maeneo mengne yapo nje still huez tofautisha kama ni yapo jiji au la toa porojo zako apa
We jamaa umevurugwa na kuipenda Korea mpaka unajiita majina ya miji yao kiufupi usifananishe miji ya ulimwengu wa kwanza na vijiji kama Mwanza kisa ukubwa wa eneo la mji.

Nishakujibu mwanzo but unaendeleza kichwa ngumu, kama Dodoma city inakutoa kamasi na unaitisha usaidizi Korea kusini kisa Dodoma ina reseamble na majiji ya level hizo basi sikulahumu.
 
Back
Top Bottom