Aseee endelea kubaki hivyo hivyo.Chuo kipi...manake Dodoma kuna vyuo vingi Udom,St Johns ,CBE,Mipango,Hombolo,Capital n.k kwenye eneo la higher learning institutions Mwanza haifiki hata robo ya Dom 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseee endelea kubaki hivyo hivyo.Chuo kipi...manake Dodoma kuna vyuo vingi Udom,St Johns ,CBE,Mipango,Hombolo,Capital n.k kwenye eneo la higher learning institutions Mwanza haifiki hata robo ya Dom 😂😂😂
Unaambiwa linganisha uzuri wa majengo kati ya BOT dodoma na BOT mwanza, mbona ngonjera nyingi.Unachekesha wewe jamaa hivi unajua makao makuu ya BOT yapo wapi..😂😂Kwa taarifa yako BoT makao makuu ni Dodoma ndimana ukifika pale pameandikwa BOT Headquarters huko kwingine kote Dar,Mwanza,Mtwara,Mbeya, Zanzibar,Arusha ni ofisi tu haijalishi ukubwa wa jengo🤣🤣
Vibanda vingi mnoUsitoke nje ya mada, Ukubwa wa eneo haimaanishi kuwa eneo lipo Urbanised Dodoma inaukubwa wa km² Nyingi lakin eneo lililojengeka ni dogo sanaa na Vichaka vingi Yaani Mji wa Serikali katikati Vichaka vya Mbuyu lakini Mwanza 546km² na ipo Urbanised yote na ndo 2nd most Urbanised City in Tanzania na 2nd most Urbanised City in Great lakes only after Kampala
African Dreams Hotel..Kidogo morena hotel na st Gaspar. Dodoma hotel ni local sana tushapigia sana pale.
Hiyo haiondoi kuwa hayo ni Mapori huku Nala kote Vichaka tu wadanganye ambao hawajaishi Dodomayaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichaka😀😀😀
Kwan Makongo sio vichaka ni nn? Majengo au?yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichaka😀😀😀
Leta jengo .acha kuropokaUnachekesha wewe jamaa hivi unajua makao makuu ya BOT yapo wapi..[emoji23][emoji23]Kwa taarifa yako BoT makao makuu ni Dodoma ndimana ukifika pale pameandikwa BOT Headquarters huko kwingine kote Dar,Mwanza,Mtwara,Mbeya, Zanzibar,Arusha ni ofisi tu haijalishi ukubwa wa jengo[emoji1787][emoji1787]
Acha kutuletea hostel na guest house hapa...Kwanza picha ziko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Golden Crown Hotel hizo ni hotel za nyota ngapi ....alafu kuna mpya imeanza Best Western City Hotel
Unataka picha za Morena Hotel,African Dreams Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Best Western City Hotel....😀😀😀Acha kutuletea hostel na guest house hapa...Kwanza picha ziko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilete tuone yaliyomo [emoji28]Unataka picha za Morena Hotel,African Dreams Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Best Western City Hotel....[emoji3][emoji3][emoji3]
Siwez lala Kwa amani bila kuwaletea hii kitu [emoji116][emoji116]
Huko kwenu kagofu ni haka haka tuu? Kametuchisha 🤪🤪Siwez lala Kwa amani bila kuwaletea hii kitu [emoji116][emoji116]
Ukiniletea taasisi private yenye uwekezaji wa Zaid ya kiwango hiki kwenye sekta ya afya ..nitagg ,....ili na mimi nihamie makao makuu ya nchi[emoji28][emoji28]View attachment 2549472
Sent using Jamii Forums mobile app
Ka kwenu kakowapiHuko kwenu kagofu ni haka haka tuu? Kametuchisha [emoji2957][emoji2957]
🔥🔥🔥🔥Mwanza vs Arusha
Mwanza vs dodoma
Mwanza vs nyoko
Tunataka mwanza vs Arusha+dodoma combined tumechoka na ujinga huu.
TIA wanajenga wapi hii!?? Au kule sijui usagaraUjenzi Taasisi ya uhasibu Tanzania..... unaendelea Kwa kasi[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2549495View attachment 2549497View attachment 2549498
Sent using Jamii Forums mobile app