mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Last Week nilikuwa DOM kusema kweli kale Kabox mnakaita City hotel hapana kwakweli!!!Huko kwenu kagofu ni haka haka tuu? Kametuchisha [emoji2957][emoji2957]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Last Week nilikuwa DOM kusema kweli kale Kabox mnakaita City hotel hapana kwakweli!!!Huko kwenu kagofu ni haka haka tuu? Kametuchisha [emoji2957][emoji2957]
Dom 🔥🔥
Ujenzi, Taasisi ya mipango ya maendeleo.kisesq [emoji91][emoji91][emoji91]
Chuo Cha Mipango Makao Makuu ni Dom..Ujenzi, Taasisi ya mipango ya maendeleo.kisesq [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2550141View attachment 2550142
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniletea tender za barabara [emoji28][emoji28]....Chuo Cha Mipango Makao Makuu ni Dom..
Na hizi hapa mtazijenga lini? [emoji16][emoji16]View attachment 2550144View attachment 2550145
Hapo Kuna ofisi za Bodi ya mikopo na Barabara za kufungua fursa za Wilayani ,sijaleta TACTIC.Unaniletea tender za barabara [emoji28][emoji28]....
[emoji116]
Soma hyo procurement notice View attachment 2550215
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tuangalie ni ipi kati ya dodoma na mwanza yenye bajeti kubwa ya ujenzi.Hapo Kuna ofisi za Bodi ya mikopo na Barabara za kufungua fursa za Wilayani ,sijaleta TACTIC.
Dom haitegemei tactic ni Mji Mkuu Ina Bajeti kubwa ya ujenzi Kila mwaka.
Ukimpa vitu classic kama hivi unaharibu mkuu. Dodoma size yake ni nyumba za watumishi housing kile kisesa wilayani magu.
Ring road bil.220Ebu tuangalie ni ipi kati ya dodoma na mwanza yenye bajeti kubwa ya ujenzi.
1.daraja la JPM .. bilioni 150 Kila mwaka
2.SGR lot 5 .. bilioni 300 Kila mwaka
4.meli . bilioni 100
5 . Tactics..bilioni 65
6 . maji... bilioni 300
7.miradi ya kimkakati (soko pamoja na stendi . bilion 40)
8.Tarura .(lami km 1 Kila mtaa .. bilioni 10 Kila mwaka)......
9.nk
TOTAL =EST trilion 1.1 Kila mwaka inakuja mwanza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukuelewa masikini Hawa wanatamba na miradi ya serikali.Ebu tuangalie ni ipi kati ya dodoma na mwanza yenye bajeti kubwa ya ujenzi.
1.daraja la JPM .. bilioni 150 Kila mwaka
2.SGR lot 5 .. bilioni 300 Kila mwaka
4.meli . bilioni 100
5 . Tactics..bilioni 65
6 . maji... bilioni 300
7.miradi ya kimkakati (soko pamoja na stendi . bilion 40)
8.Tarura .(lami km 1 Kila mtaa .. bilioni 10 Kila mwaka)......
9.nk
TOTAL =EST trilion 1.1 Kila mwaka inakuja mwanza..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dom ilinganishe na Iringa au Moshi wakati mwingine ubongo Wako hujaa kutu za upumbavu.Ring road bil.220
Sgr lot 2 na 3
Msalato Airport bil.300
Tactic bil.70
Maji bil.450
Tarura km 15 Kila mwaka bil.30
Mji wa Serikali bil.400
Hakuna kitu mtashindana na Dom kwenye ujenzi nyie
Hiyo ring road inaingia Mara tatu Kwa DARAJA la kigongo busisi na chenji kubakiRing road bil.220
Sgr lot 2 na 3
Msalato Airport bil.300
Tactic bil.70
Maji bil.450
Tarura km 15 Kila mwaka bil.30
Mji wa Serikali bil.400
Hakuna kitu mtashindana na Dom kwenye ujenzi nyie