Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom kunazidi kuchwa
Screenshot_20230313-173706.jpg
Screenshot_20230313-173056.jpg
 
Hapo Kuna ofisi za Bodi ya mikopo na Barabara za kufungua fursa za Wilayani ,sijaleta TACTIC.

Dom haitegemei tactic ni Mji Mkuu Ina Bajeti kubwa ya ujenzi Kila mwaka.
Ebu tuangalie ni ipi kati ya dodoma na mwanza yenye bajeti kubwa ya ujenzi.
1.daraja la JPM .. bilioni 150 Kila mwaka
2.SGR lot 5 .. bilioni 300 Kila mwaka
4.meli . bilioni 100
5 . Tactics..bilioni 65
6 . maji... bilioni 300
7.miradi ya kimkakati (soko pamoja na stendi . bilion 40)
8.Tarura .(lami km 1 Kila mtaa .. bilioni 10 Kila mwaka)......
9.nk
TOTAL =EST trilion 1.1 Kila mwaka inakuja mwanza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ring road bil.220
Sgr lot 2 na 3
Msalato Airport bil.300
Tactic bil.70
Maji bil.450
Tarura km 15 Kila mwaka bil.30
Mji wa Serikali bil.400

Hakuna kitu mtashindana na Dom kwenye ujenzi nyie
 
Hawezi kukuelewa masikini Hawa wanatamba na miradi ya serikali.
 
Ring road bil.220
Sgr lot 2 na 3
Msalato Airport bil.300
Tactic bil.70
Maji bil.450
Tarura km 15 Kila mwaka bil.30
Mji wa Serikali bil.400

Hakuna kitu mtashindana na Dom kwenye ujenzi nyie
Dom ilinganishe na Iringa au Moshi wakati mwingine ubongo Wako hujaa kutu za upumbavu.
 
Back
Top Bottom