Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Chuo kipi...manake Dodoma kuna vyuo vingi Udom,St Johns ,CBE,Mipango,Hombolo,Capital n.k kwenye eneo la higher learning institutions Mwanza haifiki hata robo ya Dom 😂😂😂
Aseee endelea kubaki hivyo hivyo.
 
Unachekesha wewe jamaa hivi unajua makao makuu ya BOT yapo wapi..😂😂Kwa taarifa yako BoT makao makuu ni Dodoma ndimana ukifika pale pameandikwa BOT Headquarters huko kwingine kote Dar,Mwanza,Mtwara,Mbeya, Zanzibar,Arusha ni ofisi tu haijalishi ukubwa wa jengo🤣🤣
Unaambiwa linganisha uzuri wa majengo kati ya BOT dodoma na BOT mwanza, mbona ngonjera nyingi.
 
Usitoke nje ya mada, Ukubwa wa eneo haimaanishi kuwa eneo lipo Urbanised Dodoma inaukubwa wa km² Nyingi lakin eneo lililojengeka ni dogo sanaa na Vichaka vingi Yaani Mji wa Serikali katikati Vichaka vya Mbuyu lakini Mwanza 546km² na ipo Urbanised yote na ndo 2nd most Urbanised City in Tanzania na 2nd most Urbanised City in Great lakes only after Kampala
Vibanda vingi mno
 
niache kulinganisha yalipo makao makuu ya BOT nilinganishe majengo ya regional offices...😀😀😀
 
yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichaka😀😀😀
Hiyo haiondoi kuwa hayo ni Mapori huku Nala kote Vichaka tu wadanganye ambao hawajaishi Dodoma
 
yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichaka😀😀😀
Kwan Makongo sio vichaka ni nn? Majengo au?
 
Unachekesha wewe jamaa hivi unajua makao makuu ya BOT yapo wapi..[emoji23][emoji23]Kwa taarifa yako BoT makao makuu ni Dodoma ndimana ukifika pale pameandikwa BOT Headquarters huko kwingine kote Dar,Mwanza,Mtwara,Mbeya, Zanzibar,Arusha ni ofisi tu haijalishi ukubwa wa jengo[emoji1787][emoji1787]
Leta jengo .acha kuropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwez lala Kwa amani bila kuwaletea hii kitu [emoji116][emoji116]
Ukiniletea taasisi private yenye uwekezaji wa Zaid ya kiwango hiki kwenye sekta ya afya ..nitagg ,....ili na mimi nihamie makao makuu ya nchi[emoji28][emoji28]
IMG-20230313-WA0025.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom