Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma City Hotel imekamilika ni nzuri
 
Angalia unyama huu hapa, huwezi kugananisha na kijiji kilichochangamka cha dodoma
 
Weka picha acha janja za kigogo, wewe ni matonya wa upande gani?
unatumia smartfone alafu huwezi kuingia kwa website uliyowekewa hadi link eti unataka picha😀😀😀ingia kwa website utazikuta picha
Alafu usikariri Dodoma ni Wagogo.Dodoma ni makao makuu ya nchi kila kabila linaishi pale ni kama ilivyo kwa Dar
Makabila asili ya Dodoma
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
-Wagogo
-Wanyambwa
-Wasandawe
-Wamang'ati
-Wahehe
-Wakaguru
n.k
 
Nimeamini kuna watu hawana aibu, yani Dodoma iliyo jangwani ulinganishe na Mwanza watu wa aina hii plug zitakuwa hazichomi.
Cairo ipo jangwani na inaongoza Africa😀😀.Alafu kama ni kweli Dodoma ipo Jangwani wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa 🤣🤣🤣🤣
 
Dodoma hii sehemu ndio mnaita city mall [emoji38][emoji38]View attachment 2563287

Na barabara ya karibu na hili jengo mnashindwa kufix mashimo mashimo, yaani barabara haitamaniki [emoji38][emoji38]View attachment 2563290
Umesahau kupiga picha na Shoppers Plaza,GSM na ile ya round about Zuzu😀😀
Alafu kuhusu barabara za lami hakuna jiji lolote Tanzania lenye mtandao mpana wa Barabara za lami kama Dodoma CBD
 
Exactly,eneo la Mwanza Jiji limezungukwa na Ziwa Victoria plus milima ya mawe,lipo scattered unlike Dodoma ambayo eneo lote lipo Compact sehemu moja hakuna ma-gaps yoyote ukitoa tu maeneo ya jeshi-Msalato,Makutupora,Nala,Ihumwa pamoja na kambi ndogo ya jeshi Ntyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…