Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kilaza kweli wewe hii Dodoma yenye ghorofa mbili iizidi City center ya Mwanza [emoji32]

Hapa kuna ghorofa moja tu jipya nalo ni hotel iliyopo karibu na white house nimeisahau jina owner nadhani ni serikali design mbaya ya kizamani kabisa.

Kwingine hakuna ni vijumba uchafu, ndio maana hata Vunjabei ya Dodoma ni robo ya ukubwa wa ile iliyopo Iringa.

Biashara za oneway na 7/7 zotee zinafungwa kuanzia saa 1 yani saa mbili ni mji unaanza kulala.
Usafiri wa kutoka city center ya wagogo saa tatu ni unabahatisha daladala bajaj ndio wana double bei.

Purchasing power ni ya hovyo wengi ya wanunuzi wa bidhaa za hawa wakoma ni wanafunzi na wafanyakazi wengine ni mandezi tu
Dodoma City Hotel imekamilika ni nzuri
 
Dom is 🔥🔥

Hiyo Mall pale keepleft naona imeshafanyiwa clddding.
20230328_222226.jpg
20230328_222140.jpg
20230328_222227.jpg
20230328_231609.jpg
 
Angalia unyama huu hapa, huwezi kugananisha na kijiji kilichochangamka cha dodoma
Screenshot_20230320-171833_1679322049703.jpg
 
Weka picha acha janja za kigogo, wewe ni matonya wa upande gani?
unatumia smartfone alafu huwezi kuingia kwa website uliyowekewa hadi link eti unataka picha😀😀😀ingia kwa website utazikuta picha
Alafu usikariri Dodoma ni Wagogo.Dodoma ni makao makuu ya nchi kila kabila linaishi pale ni kama ilivyo kwa Dar
Makabila asili ya Dodoma
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
-Wagogo
-Wanyambwa
-Wasandawe
-Wamang'ati
-Wahehe
-Wakaguru
n.k
 
Nimeamini kuna watu hawana aibu, yani Dodoma iliyo jangwani ulinganishe na Mwanza watu wa aina hii plug zitakuwa hazichomi.
Cairo ipo jangwani na inaongoza Africa😀😀.Alafu kama ni kweli Dodoma ipo Jangwani wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Alizeti,Tende,Mtama plus soko la mahindi la kimataifa Kibaigwa 🤣🤣🤣🤣
 
Dodoma hii sehemu ndio mnaita city mall [emoji38][emoji38]View attachment 2563287

Na barabara ya karibu na hili jengo mnashindwa kufix mashimo mashimo, yaani barabara haitamaniki [emoji38][emoji38]View attachment 2563290
Umesahau kupiga picha na Shoppers Plaza,GSM na ile ya round about Zuzu😀😀
Alafu kuhusu barabara za lami hakuna jiji lolote Tanzania lenye mtandao mpana wa Barabara za lami kama Dodoma CBD
 
Tunaongelea mipaka ya jiji wewe unaongelea sehemu za wilaya za Misungwi na huko Kwimba ilimradi kuchimba watu mikwara mji uonekane ni mpana kumbe hamna kitu.

Unlike mji wako huo linear uliobanwa na safu ya milima unapata wapi pumzi ya kujilinganisha na Dodoma iliyojengwa katika mfumo wa nuclear settlement na ina pande zote nne zilizojengeka na bado kuna maeneo makubwa kwa ajili ya mji kuja kutanuka hapo baadae.

Mwanza ina pande kuu tatu tu zilizojengwa zinazooneshwa na barabara zake kuu tatu yaani mjini-airport, mjini-buhongwa na mjini-nyamhongolo palipobaki ni aidha eneo la ziwa au nje ya mipaka ya eneo la jiji.
Exactly,eneo la Mwanza Jiji limezungukwa na Ziwa Victoria plus milima ya mawe,lipo scattered unlike Dodoma ambayo eneo lote lipo Compact sehemu moja hakuna ma-gaps yoyote ukitoa tu maeneo ya jeshi-Msalato,Makutupora,Nala,Ihumwa pamoja na kambi ndogo ya jeshi Ntyuka
 
Back
Top Bottom