Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #3,901
Muulizeni mwendazake ambaye anajua alikotoa dizaini zake za terminal nakujenga jenga bila kufuata utaratibu wala kujali standard zinazoistahili airport, mpaka waleo wahusika wanaumiza vichwa yule tembo mweupe wanamnusuru vipi na pesa za walipa kodi zishafukiwa chini pale igombe.Hii serikali huwa inafanya mambo kimihemko tu, Mwanza kuna abiria wengi wa ndani na nje ya nchi lakini kujenga kiwanja cha Mwanza imekuwa kama hanasa au kukomoana.
Kwani nimekosea nikisema ni moja kati ya mapanbo ya hapo jangwani Dodoma.Punguza wivu mwana nyanza, kwanza mnara wa mashujaa si pambo ni kielelezo cha dola na kutambua mchango wa majeshi katika kuipambania nchi yao.
Ugumu upo wapi? Ni kujenga jipya au kuliboresha hilo godauni hapo? Mambo ya mwendazake achana nayo naye alifanya kwa kiwango chake.Muulizeni mwendazake ambaye anajua alikotoa dizaini zake za terminal nakujenga jenga bila kufuata utaratibu wala kujali standard zinazoistahili airport, mpaka waleo wahusika wanaumiza vichwa yule tembo mweupe wanamnusuru vipi na pesa za walipa kodi zishafukiwa chini pale igombe.
Muda ni hakimu mzuri, subiri tutaona huko mbeleni.Dodoma itakuwa kama Abuja tu Nigeria. Hakuna jipya hapo.
Mwanza hamna kitu hata usijichoshe..Muda ni hakimu mzuri, subiri tutaona huko mbeleni.
Huko mbeleni Mwanza itakuwa imesimama ikimsubiri dodoma ajikongoje na kumzidi?Muda ni hakimu mzuri, subiri tutaona huko mbeleni.
😂😂😂😂 unachekesha ebu kula vitu laini hivi👇👇Mwanza hamna kitu hata usijichoshe..
Apartments in Dom City View attachment 2598308View attachment 2598309View attachment 2598310View attachment 2598311View attachment 2598312View attachment 2598313View attachment 2598314View attachment 2598315View attachment 2598316View attachment 2598317
Ni sawa tu hata kama ni asilimia 100 hiyo hiyo bandari itatumiwa na Dodoma kuendelea kustawi kumbuka after Kwala kituo kinachofuata ni Dodoma.Bandari inachangia 70 percent ya mapato ya nchi
Dodoma mtagawana mizigo na kwala.Ni sawa tu hata kama ni asilimia 100 hiyo hiyo bandari itatumiwa na Dodoma kuendelea kustawi kumbuka after Kwala kituo kinachofuata ni Dodoma.
Nafikiri una macho kumbe uoni jinsi gepu linavyozidi kufungwa kwa haraka, just imagine miaka 10 nyuma mlikuwa na watu laki 8 wakati Dodoma ikitunukiwa jiji na Magufuli kila mtu alikuwa anacomplain mji wenye wakazi laki 3 linakuaje jiji,Huko mbeleni Mwanza itakuwa imesimama ikimsubiri dodoma ajikongoje na kumzidi?
Hiyo dodoma yako itazidi majiji yote ya Tanzania sio Dar na Mwanza, kun factor kibao zilizosababisha ongezeko la watu kqa jiji la dodoma lakini as time goes on ukuaji utakuwa constant, hakuta kuwa na ongezeko kubwa la watu bali watu wataanza kupungua, na kuwa kama Jiji la Tanga.Nafikiri una macho kumbe uoni jinsi gepu linavyozidi kufungwa kwa haraka, just imagine miaka 10 nyuma mlikuwa na watu laki 8 wakati Dodoma ikitunukiwa jiji na Magufuli kila mtu alikuwa anacomplain mji wenye wakazi laki 3 linakuaje jiji,
Leo hii mna 1M na sisi nyuma yenu laki 7 ndani ya muda mfupi tu, hii inakupa alarm ni mji gani unakuwa kwa kasi na una waamiaji wengi kati ya hii miji miwili. Kitendo cha watu wengi kuendelea kuhamia na kufurika Dodoma ni ishara tosha kuwa ina factors nyingi zinazovutia uhitaji na ni favourable kwa makazi sifa ambayo Mwanza haina.
Siyo tuachane nayo, we unafikiri nchi inaokota pesa? Yaani project kubwa kama uwanja wa ndege ifanywe chini ya kiwango bila kuhusisha utaalamu kwa mabilioni ya shilingi kisha kabla hata mkopo wenyewe haujaanza kurejeshwa, turudi tena kubomoa nakuanza upya?Ugumu upo wapi? Ni kujenga jipya au kuliboresha hilo godauni hapo? Mambo ya mwendazake achana nayo naye alifanya kwa kiwango chake.
Hyo terminal haujajengwa Kwa pesa za mikopo acha uongo wako ...pesa zimejengwa Kwa force account...za halmashauri ya manispaa ya ilemela na mwanza CC ...kwanza magufuli alisema Ile ni temporary block ...Siyo tuachane nayo, we unafikiri nchi inaokota pesa? Yaani project kubwa kama uwanja wa ndege ifanywe chini ya kiwango bila kuhusisha utaalamu kwa mabilioni ya shilingi kisha kabla hata mkopo wenyewe haujaanza kurejeshwa, turudi tena kubomoa nakuanza upya?
Nchi masikini kama Tanzania bajeti yake iko taiti sana mtu anapo abuse power nakutumia fedha vibaya anai-cost nchi pakubwa, just imagine ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Mwanza kimefukia pesa kiasi gani ambazo zingetumika kuimarisha miundombinu ya afya?
Siyo vibaya kujiliwaza wakati ambao unaona kabisa uliyemdhania siye ndiye anakupumulia kisogoni, tumeshayaficha completely majiji matatu kwa kila kitu na wenyewe walikuwa wakijiliwaza kama ninyi kuwa Dom itapoa but unfortunately next ni wewe tupishe tu na ulichobakiza kwa sasa ni idadi ya watu tu si vinginevyo.Hiyo dodoma yako itazidi majiji yote ya Tanzania sio Dar na Mwanza, kun factor kibao zilizosababisha ongezeko la watu kqa jiji la dodoma lakini as time goes on ukuaji utakuwa constant, hakuta kuwa na ongezeko kubwa la watu bali watu wataanza kupungua, na kuwa kama Jiji la Tanga.
Wacha uongo ...mwaka 2012 dodoma ilikuwa na watu laki nne ...imepewa jiji mwaka 2017 iweje na watu laki 3. ....tumia facts kutetea hoja zako ..acha vijiwe hapaNafikiri una macho kumbe uoni jinsi gepu linavyozidi kufungwa kwa haraka, just imagine miaka 10 nyuma mlikuwa na watu laki 8 wakati Dodoma ikitunukiwa jiji na Magufuli kila mtu alikuwa anacomplain mji wenye wakazi laki 3 linakuaje jiji,
Leo hii mna 1M na sisi nyuma yenu laki 7 ndani ya muda mfupi tu, hii inakupa alarm ni mji gani unakuwa kwa kasi na una waamiaji wengi kati ya hii miji miwili. Kitendo cha watu wengi kuendelea kuhamia na kufurika Dodoma ni ishara tosha kuwa ina factors nyingi zinazovutia uhitaji na ni favourable kwa makazi sifa ambayo Mwanza haina.
Hyo terminal haujajengwa Kwa pesa za mikopo acha uongo wako ...pesa zimejengwa Kwa force account...za halmashauri ya manispaa ya ilemela na mwanza CC ...kwanza magufuli alisema Ile ni temporary block ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew hujiongezi ..kama terminal Hadi halmashauri wenyewe wajenge..TAA wako wako wapi . wizara walikuwa wapi .........Tena bas tu ni huruma ya halmashauri.ilipaswa wasijenge kabisa .hata HiloHata kama ingekuwa ni account ya escrow kiufupi ni matumizi mabaya ya pesa za umma, na waliofanya hivyo ni wana Mwanza tena halmashauri ya jiji lenyewe hivyo msitafute sababu kwa kutia tia huruma hili kukwamisha miradi mingine ya maana kama msalato kwa kuhalalisha neno upendeleo kwenye ujinga wenu wenyewe.
Nchi ina utaratibu wake na namna ya utekelezaji wa miradi lazima ufuate mtiririko uliowekwa na siyo kila kitu kinatekelezwa kwa hisia za kikundi cha watu au papara, hayo ni matokeo ya maamuzi mabovu yaliyofanyika katika awamu iliyopita yakiusisha halmashauri inayoitikia ndiyo mkuu hata kama majukumu siyo yao walipaswa kuyakataa na badala yake wali-abuse power ili wasifiwe na matokeo yake ndiyo haya.Wew hujiongezi ..kama terminal Hadi halmashauri wenyewe wajenge..TAA wako wako wapi . wizara walikuwa wapi .........Tena bas tu ni huruma ya halmashauri.ilipaswa wasijenge kabisa .hata Hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo fact ni kuwa ongezeko ilo la watu laki 3 lilikuwa ni kubwa ukilinganisha na ongezeko la miji mingine nchini.Wacha uongo ...mwaka 2012 dodoma ilikuwa na watu laki nne ...imepewa jiji mwaka 2017 iweje na watu laki 3. ....tumia facts kutetea hoja zako ..acha vijiwe hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ngoma haijaishaga tu ina miaka zaidi ya 10 iko hivyo hivyo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha ebu kula vitu laini hivi[emoji116][emoji116]View attachment 2598321View attachment 2598322