Nafikiri una macho kumbe uoni jinsi gepu linavyozidi kufungwa kwa haraka, just imagine miaka 10 nyuma mlikuwa na watu laki 8 wakati Dodoma ikitunukiwa jiji na Magufuli kila mtu alikuwa anacomplain mji wenye wakazi laki 3 linakuaje jiji,
Leo hii mna 1M na sisi nyuma yenu laki 7 ndani ya muda mfupi tu, hii inakupa alarm ni mji gani unakuwa kwa kasi na una waamiaji wengi kati ya hii miji miwili. Kitendo cha watu wengi kuendelea kuhamia na kufurika Dodoma ni ishara tosha kuwa ina factors nyingi zinazovutia uhitaji na ni favourable kwa makazi sifa ambayo Mwanza haina.