Kwani mwanza ongezeko lake ni watu wangapi unajuaHata hivyo fact ni kuwa ongezeko ilo la watu laki 3 lilikuwa ni kubwa ukilinganisha na ongezeko la miji mingine nchini.
Unawa-umiza wenzio roho vitu vizuri kama hivi wavitoe wapi kama hawatoishia kukupostia fremu za maduka na majengo ambayo hayajaisha eti apartment.Mwanza hamna kitu hata usijichoshe..
Apartments in Dom City View attachment 2598308View attachment 2598309View attachment 2598310View attachment 2598311View attachment 2598312View attachment 2598313View attachment 2598314View attachment 2598315View attachment 2598316View attachment 2598317
Bora mji unaopambwa na vitu icon vinavyopatikana katika majiji yote makubwa yanayoheshimika duniani kuliko jiji linalotegemea pambo la sanamu ya sato round about.Kwani nimekosea nikisema ni moja kati ya mapanbo ya hapo jangwani Dodoma.
JIBUNI ni hapa basUnawa-umiza wenzio roho vitu vizuri kama hivi wavitoe wapi kama hawatoishia kukupostia fremu za maduka na majengo ambayo hayajaisha eti apartment.
Nini kifanyike acha ujinga wakuongea bila kuleta suluhisho.Siyo tuachane nayo, we unafikiri nchi inaokota pesa? Yaani project kubwa kama uwanja wa ndege ifanywe chini ya kiwango bila kuhusisha utaalamu kwa mabilioni ya shilingi kisha kabla hata mkopo wenyewe haujaanza kurejeshwa, turudi tena kubomoa nakuanza upya?
Nchi masikini kama Tanzania bajeti yake iko taiti sana mtu anapo abuse power nakutumia fedha vibaya anai-cost nchi pakubwa, just imagine ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Mwanza kimefukia pesa kiasi gani ambazo zingetumika kuimarisha miundombinu ya afya?
Bora umejibu wewe, na kama limekosewa je serikali ina mpango gani nalo?Hyo terminal haujajengwa Kwa pesa za mikopo acha uongo wako ...pesa zimejengwa Kwa force account...za halmashauri ya manispaa ya ilemela na mwanza CC ...kwanza magufuli alisema Ile ni temporary block ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma inachoizidi mwanza ni bunge, ukame, vumbi la trachoma na hiyo outer ring roadSiyo vibaya kujiliwaza wakati ambao unaona kabisa uliyemdhania siye ndiye anakupumulia kisogoni, tumeshayaficha completely majiji matatu kwa kila kitu na wenyewe walikuwa wakijiliwaza kama ninyi kuwa Dom itapoa but unfortunately next ni wewe tupishe tu na ulichobakiza kwa sasa ni idadi ya watu tu si vinginevyo.
Na hiyo msalato ina umuhimu gani kwa sasa kama sio kujenga bila taaluma na kutokuangalia hali halisi ya mambo, hiyo airport itakuwa ni hasara kubwa kwa taifa, na litakuwa linachukua wasafiri wa kutoka nchi gani waje washukie hapo, uwanja wa ndege wa mwanza mnaufanyia figisu alafu tusiseme.Hata kama ingekuwa ni account ya escrow kiufupi ni matumizi mabaya ya pesa za umma, na waliofanya hivyo ni wana Mwanza tena halmashauri ya jiji lenyewe hivyo msitafute sababu kwa kutia tia huruma hili kukwamisha miradi mingine ya maana kama msalato kwa kuhalalisha neno upendeleo kwenye ujinga wenu wenyewe.
Miradi ya dodoma n dar huwa inafuata misingi gani? Huwa sisikii mbungeni lakini nakuta imeanza kutekelezwa huu ujinga nao unaitwaje?Nchi ina utaratibu wake na namna ya utekelezaji wa miradi lazima ufuate mtiririko uliowekwa na siyo kila kitu kinatekelezwa kwa hisia za kikundi cha watu au papara, hayo ni matokeo ya maamuzi mabovu yaliyofanyika katika awamu iliyopita yakiusisha halmashauri inayoitikia ndiyo mkuu hata kama majukumu siyo yao walipaswa kuyakataa na badala yake wali-abuse power ili wasifiwe na matokeo yake ndiyo haya.
Acha wivu kwani hapo Dodoma hakuna magofu ya kaleHii ngoma haijaishaga tu ina miaka zaidi ya 10 iko hivyo hivyo tu.
Hiyo picha ya round about ya huyo sato anayetema maji, niliiona nilipokuwa Frankfurt, Germain.... Hilo sanamu ni maarufu kuliko jengo la bunge.Bora mji unaopambwa na vitu icon vinavyopatikana katika majiji yote makubwa yanayoheshimika duniani kuliko jiji linalotegemea pambo la sanamu ya sato round about.
Kwahiyo unajinasibisha kwa copy & paste[emoji23]Hiyo picha ya round about ya huyo sato anayetema maji, niliiona nilipokuwa Frankfurt, Germain.... Hilo sanamu ni maarufu kuliko jengo la bunge.
Kama yapo hayo magofu yalete tuyaoneAcha wivu kwani hapo Dodoma hakuna magofu ya kale
Kati yenu na sisi ni mji gani umecopy swaga za mwenzake.Kwahiyo unajinasibisha kwa copy & paste[emoji23]
Miradi ya Dodoma ni miradi ya kimkakati na bajeti yake utengwa na kuidhinishwa kila awamu na bunge, hivyo usianze kuleta mbishe za kiswahiliMiradi ya dodoma n dar huwa inafuata misingi gani? Huwa sisikii mbungeni lakini nakuta imeanza kutekelezwa huu ujinga nao unaitwaje?
Kwanini unafikiri kiwanja cha ndege msalato ni project hewa?Na hiyo msalato ina umuhimu gani kwa sasa kama sio kujenga bila taaluma na kutokuangalia hali halisi ya mambo, hiyo airport itakuwa ni hasara kubwa kwa taifa, na litakuwa linachukua wasafiri wa kutoka nchi gani waje washukie hapo, uwanja wa ndege wa mwanza mnaufanyia figisu alafu tusiseme.
Dodoma ipo karibu na Dar, na tayari Dar kuna uwanja mkubwa wa kimataifa, je hao wageni wataacha kutumia JNIA na washukie msalato? Je msalato itapokea wageni wa aina gani? Jibu hayo nakuja kukupa facts kuwa hiyo msalato ni upotevu wa fedha kwenye nchi maskini kama hiiKwanini unafikiri kiwanja cha ndege msalato ni project hewa?
Kwanini unafikiri Mwanza ndiyo inastahili kuwa na miundombinu bora ya usafiri wa anga na si Dodoma?
Ungeendelea kutaja tunavyowazidi kuwa si bunge tu bali ikulu, jiji la kisasa la kiserikali, estates,majengo ya taasisi mbalimbali, vyuo vikuu, planned city, makazi bora, kilomita ndefu za mtandao wa barabara za lami mjini, bustani za kupumzikia,n.kDodoma inachoizidi mwanza ni bunge, ukame, vumbi la trachoma na hiyo outer ring road
Dodoma imecopy nini? Ungesema Dodoma ndiyo imekopiwa na hao akina abuja mnaowashobokea kwenye mifano yenu.Kati yenu na sisi ni mji gani umecopy swaga za mwenzake.
Hapo kwenye estate na makazi bora elezea vizuriUngeendelea kutaja tunavyowazidi kuwa si bunge tu bali ikulu, jiji la kisasa la kiserikali, estates,majengo ya taasisi mbalimbali, vyuo vikuu, planned city, makazi bora, kilomita ndefu za mtandao wa barabara za lami mjini, bustani za kupumzikia,n.k
Bora unusu jangwa wenye trachoma kuliko kunywa maji yenye mchanganyiko wa vinyesi na mwisho wa siku ni kufa kwa kansa.