Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

chuo cha serikali za mitaa (hombolo),chuo cha mipango ,st John na WW unaweza taja secondary zilizopo mwanza [emoji28][emoji2][emoji1787]
Hizo nazo ni vyuo, fikiria kwanza kabla ya kupost, peleka ushamba wako kwa matonya wenzio
 
haya lete hata institute au collage za uko mwanza [emoji28][emoji3]
Acha kudandi mtumbwi wa vibwengo, dogo unaleta mambo ya kujifanya unajua baada ya kupewa hela ya vocha na shemeji ako, umeona umalizie bando lako humu.
 
Ina maana mwanza kuna makazi classic kuliko hata Dar ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka mwezi Feb dodoma walikuwa wamekusanya ...bilion 28 ..mwaka huu mkifikisha bilioni 40 kama mwaka Jana mniite fisi nipo hapà ......dodoma imeshafikia peak sa hv imeaanza kudrop [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mwanza mpaka sasa bilion 22 ..gap la bilioni 6 tu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…