Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

chuo cha serikali za mitaa (hombolo),chuo cha mipango ,st John na WW unaweza taja secondary zilizopo mwanza [emoji28][emoji2][emoji1787]
Hizo nazo ni vyuo, fikiria kwanza kabla ya kupost, peleka ushamba wako kwa matonya wenzio
 
haya lete hata institute au collage za uko mwanza [emoji28][emoji3]
Acha kudandi mtumbwi wa vibwengo, dogo unaleta mambo ya kujifanya unajua baada ya kupewa hela ya vocha na shemeji ako, umeona umalizie bando lako humu.
 
Kwani vinyesi ndio vinasababisha kansa...leta estates za dom tulinganishe na mwanza, mtandao wa lami kwasasa bado subirini hiyo outer ring road ndio uje utambe, mna vyuo au mna chuo kimoja tu.cha udom, ukibisha weka list nami niweke list ya vyuo vikuu, makazi bora hakuna jiji lenye makazi classic hapa Tanzania kama Mwanza, bustani za kupumzikia mwanza ndio mahala pake, karibu fukwe zote zimejengwa na kusanifiwa vizuri kwa watu kupumzika.....
Ina maana mwanza kuna makazi classic kuliko hata Dar ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka mwezi Feb dodoma walikuwa wamekusanya ...bilion 28 ..mwaka huu mkifikisha bilioni 40 kama mwaka Jana mniite fisi nipo hapà ......dodoma imeshafikia peak sa hv imeaanza kudrop [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... mwanza mpaka sasa bilion 22 ..gap la bilioni 6 tu ...
Screenshot_20230425-200852.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom