Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Nhc wanajitahid kujenga Dom ila wanajenga kizamani sanaEti Mji wa Wavuvi wa dagaa Mwanza unataka ushindane na Makao Makuu ya Nchi [emoji2957][emoji2957]View attachment 2632304View attachment 2632305View attachment 2632306View attachment 2632307View attachment 2632308
Subiri mjengew maghala ya mboleaMwanza
Zanzibar
Wajenge haraka na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
Nyie msubiri vichanja vya kuwekea viazi.Mwanza
Zanzibar
Wajenge haraka na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
MwanzaNhc wanajitahid kujenga Dom ila wanajenga kizamani sana
Kanda zote watajenga ,wamemaliza Dom,Mwanza na Zanzibar,Kituo kijacjo ni Mbeya maana Arusha Iko kitamboNyie msubiri vichanja vya kuwekea viazi.
Arusha inafanya nini kwenye Uzi wa Dom? Mnaomba Msaada au?
😀😀😀kituko cha mwaka eti anajivunia uwepo wa ziwa ambayo ni natural geographic factor😂😂Bukoba na Musoma soon na wenyewe watajilinganisha na Dodoma simply kwasababu ya uwepo wa ziwa kwenye miji yaoUnauliza lini Dom itakuwa na Ziwa? Uko sawa upstairs kweli? 😂😂
Unapenda kujifariji sana kijana.Kanda zote watajenga ,wamemaliza Dom,Mwanza na Zanzibar,Kituo kijacjo ni Mbeya maana Arusha Iko kitambo
Mwanza haina mshirika yoyote hapa Tanzania, Mwanza huwa inapenda sana mkijikusanya wote kuanzia mbeya, Arusha, dodoma adi Tanga, mkija mmoja mmoja hamtaiweza, na hapa nimemkaribisha mshirika wenu arusha aongeze nguvuArusha inafanya nini kwenye Uzi wa Dom? Mnaomba Msaada au?
Kwa taarifayako tu hakuna mji wala Jiji lolote Tanzania lenye bustani za miti pamoja na forest reserve nyingi kama Dodoma.Ukifika Dodoma ulizia bustani za CDA za miti ya matunda hata watoto wadogo watakuonesha manake ndio wanaendaga kula matunda.Pamoja na CDA kufutwa hawa jamaa walifanya kazi iliyotukuka kupanda miti ndani ya Jiji la DodomaNionyeshe forest reserve CBD ya dodoma .[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2637203View attachment 2637204
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikia mara ohoo Mwanza haina barabara ina vinjia vya kwenda sokoni... Tazama hii hapa njia ya kwenda gulioni, MwanzaArusha inafanya nini kwenye Uzi wa Dom? Mnaomba Msaada au?
Asilimia 90 ya barabara zote za Dodoma ndani ya CBD ni lami tupu. Makao makuu ya nchi panaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami usijaribu kamwe kulinganisha na Mwanza😀😀Utasikia mara ohoo Mwanza haina barabara ina vinjia vya kwenda sokoni... Tazama hii hapa njia ya kwenda gulioni, Mwanza
View attachment 2638206
View attachment 2638209
Jitu kama wewe baada ya miezi miwili mnakuja kulalamika tatizo la nguvu za kiume, hao matunda yote ni artificial yaani ni GMO, hiyo desert ya dodoma hakuna mti unaostawi naturally isipokuwa mizabibu tu.Kwa taarifayako tu hakuna mji wala Jiji lolote Tanzania lenye bustani za miti pamoja na forest reserve nyingi kama Dodoma.Ukifika Dodoma ulizia bustani za CDA za miti ya matunda hata watoto wadogo watakuonesha manake ndio wanaendaga kula matunda.Pamoja na CDA kufutwa hawa jamaa walifanya kazi iliyotukuka kupanda miti ndani ya Jiji la Dodoma
Acha uzezeta kama kuku wa kizungu, hapa Mwanza CBD ni barabara gani haina lami,endeleeni kujifungia huko milembe.Asilimia 90 ya barabara zote za Dodoma ndani ya CBD ni lami tupu. Makao makuu ya nchi panaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami usijaribu kamwe kulinganisha na Mwanza😀😀
Tukikuchapa na facts unakuja unajitahidi kubadili badili topics 😂😂😂 Unasema Dodoma ni desert alafu chakushangaza Makao makuu ya TARI (Tanzania Agricultural Research Institute)yapo makutupora Dodoma🤣🤣🤣🤣kama ni desert wanatafiti nini sasaJitu kama wewe baada ya miezi miwili mnakuja kulalamika tatizo la nguvu za kiume, hao matunda yote ni artificial yaani ni GMO, hiyo desert ya dodoma hakuna mti unaostawi naturally isipokuwa mizabibu tu.
Ulitaka TARI iwekwe sehemu yenye misitu na ardhi nzuri? TARI inawekwa sehemu yenye Jangwa ili iwe vyepesi kusimamia usimami wa upandaji miti japo mpate mandhari nzuri ya artificial.Tukikuchapa na facts unakuja unajitahidi kubadili badili topics 😂😂😂 Unasema Dodoma ni desert alafu chakushangaza Makao makuu ya TARI (Tanzania Agricultural Research Institute)yapo makutupora Dodoma🤣🤣🤣🤣kama ni desert wanatafiti nini sasa
Hii ni takataka tuu Kwa Dom City..Utasikia mara ohoo Mwanza haina barabara ina vinjia vya kwenda sokoni... Tazama hii hapa njia ya kwenda gulioni, Mwanza
View attachment 2638206
View attachment 2638209
Sijaona majengo bali mnautajiri wa eneo kwa baadae mtafika mbali lakini kwasasa bado sana kwa Mwanza.Hii ni takataka tuu Kwa Dom City..
Dom CBD skyline