Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Nhc wanajitahid kujenga Dom ila wanajenga kizamani sana
Mwanza
IMG-20230526-WA0058.jpg
IMG-20230526-WA0046.jpg
IMG-20230526-WA0062.jpg
 
Unauliza lini Dom itakuwa na Ziwa? Uko sawa upstairs kweli? 😂😂
😀😀😀kituko cha mwaka eti anajivunia uwepo wa ziwa ambayo ni natural geographic factor😂😂Bukoba na Musoma soon na wenyewe watajilinganisha na Dodoma simply kwasababu ya uwepo wa ziwa kwenye miji yao
 
Arusha inafanya nini kwenye Uzi wa Dom? Mnaomba Msaada au?
Mwanza haina mshirika yoyote hapa Tanzania, Mwanza huwa inapenda sana mkijikusanya wote kuanzia mbeya, Arusha, dodoma adi Tanga, mkija mmoja mmoja hamtaiweza, na hapa nimemkaribisha mshirika wenu arusha aongeze nguvu
 
Nionyeshe forest reserve CBD ya dodoma .[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2637203View attachment 2637204

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifayako tu hakuna mji wala Jiji lolote Tanzania lenye bustani za miti pamoja na forest reserve nyingi kama Dodoma.Ukifika Dodoma ulizia bustani za CDA za miti ya matunda hata watoto wadogo watakuonesha manake ndio wanaendaga kula matunda.Pamoja na CDA kufutwa hawa jamaa walifanya kazi iliyotukuka kupanda miti ndani ya Jiji la Dodoma
 
Jitu kama wewe baada ya miezi miwili mnakuja kulalamika tatizo la nguvu za kiume, hao matunda yote ni artificial yaani ni GMO, hiyo desert ya dodoma hakuna mti unaostawi naturally isipokuwa mizabibu tu.
 
Asilimia 90 ya barabara zote za Dodoma ndani ya CBD ni lami tupu. Makao makuu ya nchi panaongoza kwa mtandao mpana wa barabara za lami usijaribu kamwe kulinganisha na Mwanza😀😀
Acha uzezeta kama kuku wa kizungu, hapa Mwanza CBD ni barabara gani haina lami,endeleeni kujifungia huko milembe.
 
Jitu kama wewe baada ya miezi miwili mnakuja kulalamika tatizo la nguvu za kiume, hao matunda yote ni artificial yaani ni GMO, hiyo desert ya dodoma hakuna mti unaostawi naturally isipokuwa mizabibu tu.
Tukikuchapa na facts unakuja unajitahidi kubadili badili topics 😂😂😂 Unasema Dodoma ni desert alafu chakushangaza Makao makuu ya TARI (Tanzania Agricultural Research Institute)yapo makutupora Dodoma🤣🤣🤣🤣kama ni desert wanatafiti nini sasa

Ulitaka TARI iwekwe sehemu yenye misitu na ardhi nzuri? TARI inawekwa sehemu yenye Jangwa ili iwe vyepesi kusimamia usimami wa upandaji miti japo mpate mandhari nzuri ya artificial.
 
Back
Top Bottom