Hapa Kuna majengo gani zaidi ya uswazi? CBD ya Dom ni nzuri kuliko ya Mwanza.Sijaona majengo bali mnautajiri wa eneo kwa baadae mtafika mbali lakini kwasasa bado sana kwa Mwanza.
View attachment 2638323
Vitu kama hivi Kwa Dom sio vya kuuliza Wala kutafutiza kama Mwanza..Kuna wazawa wanajenga apartment kwa pesa zao sio kusubiri kulamba miguu ya NHC sio PPF
KISEKE, MWANZA
View attachment 2638328
Hivyo sio vitu vya mashirika yenu, hivyo apartment za watu binafsi yaani miradi mtu yaan one man.Vitu kama hivi Kwa Dom sio vya kuuliza Wala kutafutiza kama Mwanza..
Dodoma kumbe nayo ina CBD leo ndio nimejua nilikuwa najua ipo kama mbeya kule kwenye likijiji la mpunga na maviazi.Hapa Kuna majengo gani zaidi ya uswazi? CBD ya Dom ni nzuri kuliko ya Mwanza.
Hata Mbeya Ina CBD ila ni ushamba wako tuuDodoma kumbe nayo ina CBD leo ndio nimejua nilikuwa najua ipo kama mbeya kule kwenye likijiji la mpunga na maviazi.
Wapi huduma za afyaVitu kama hivi Kwa Dom sio vya kuuliza Wala kutafutiza kama Mwanza..
Mbeya is mabanda town CBD Yake ipo wapHata Mbeya Ina CBD ila ni ushamba wako tuu
We Jamaa bwana,BMH sio hospital ya Kanda ni hospital ya KitaifaWapi huduma za afyaView attachment 2638457
Hiyo CBD ya mbeya huwa unaiona wewe tu wengine huwa tunaona vichuguu vya matofali ya udongo.Hata Mbeya Ina CBD ila ni ushamba wako tuu
Labda taifa la mibuyu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]We Jamaa bwana,BMH sio hospital ya Kanda ni hospital ya Kitaifa
Mwanza kashindane na Mbeya sio Dom
Nachojua dodoma in hospitali ya taifa ya vichaa kwasababu, dodoma inaongoza kwa kuwa na vichaa wengi EA.We Jamaa bwana,BMH sio hospital ya Kanda ni hospital ya Kitaifa
Mwanza kashindane na Mbeya sio Dom
Mbeya ikashindane na Morogoro na Iringa, na inaweza ikakalishwa...We Jamaa bwana,BMH sio hospital ya Kanda ni hospital ya Kitaifa
Mwanza kashindane na Mbeya sio Dom
Mwanza Mwenyewe anatokwa makamasi Kwa Mbeya sembuse hivyo Vijiji vingine?Mbeya ikashindane na Morogoro na Iringa, na inaweza ikakalishwa...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Acha masikhara bro Mbeya ni Jiji kubwa lapaswa kuheshimiwaMbeya ikashindane na Morogoro na Iringa, na inaweza ikakalishwa...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hapa nakubali, arusha ni jiji kubwa kama mbeya na wanafanana kwa kila kitu.Acha masikhara bro Mbeya ni Jiji kubwa lapaswa kuheshimiwa
Hivi Mbeya kuna nini...?! labda kama unaongea kujifurahisha...Mwanza Mwenyewe anatokwa makamasi Kwa Mbeya sembuse hivyo Vijiji vingine?
Ukubwa wake unaupimaje...?!Acha masikhara bro Mbeya ni Jiji kubwa lapaswa kuheshimiwa
Size+ Population