Kabisa Mbeya ulinganishe na Mwanza bwana ChoiceUkiona Mwanza imetajwa uni tag [emoji16][emoji16]
Mbeya na Mwanza hawachekani broo
Hamad Masauni: Kamera zenye Mfumo wa utambuzi wa Sura kufungwa Dar es Salaam, Arusha na Dodoma
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 35 leo Mei 29, 2023. Ufungaji wa kamera za Ulinzi Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni amesema Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi limekamilisha mradi wa ujenzi wa mji salama utakaotumia kamera zenye mfumo wa...www.jamiiforums.com
Dodoma wanajengewa nyumba na Serikali 🤣🤣🤣hawamu hii ni kama inakomoa mwanza.
Nashauri wajengewe hizo nyumba na wananchi wa dodoma wapewe bureDodoma wanajengewa nyumba na Serikali 🤣🤣🤣
Chdachi ,huko ndio tunaishi watu wa Maisha ya chini hapa Dom
Hapa umeongea nini?Nashauri wajengewe hizo nyumba na wananchi wa dodoma wapewe bure
Natoa ushauri NHC wajenge nyumba hapo Dodoma na wakazi wenye uhitaji wapewe bure la sivyo sitakuwa makazi ya popo.Hapa umeongea nini?
Kungekuwa hakuna uhitaji wasingehenga..Natoa ushauri NHC wajenge nyumba hapo Dodoma na wakazi wenye uhitaji wapewe bure la sivyo sitakuwa makazi ya popo.
Kizio cha kupima na kujua sehemu fulani kuna mzunguko mkubwa wa pesa ni nini?Kungekuwa hakuna uhitaji wasingehenga..
Watu wa Dom Wana mzunguko mkubwa wa pesa sio maskini kama Mwanza ndio maana NHC haiwezi Jenga Mwanza .
Mapato ya Halmashauri,TRAKizio cha kupima na kujua sehemu fulani kuna mzunguko mkubwa wa pesa ni nini?
Chukua hii mjione dodoma mpo wapi?Mapato ya Halmashauri,TRA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GDP sio mapato ni estimates ,nazungumzia mapato yanayoshikika na kukusanywa na taasisi mbalimbaliChukua hii mjione dodoma mpo wapi?View attachment 2643799
GDP inakusanya mapato yote..itangible na tangible pamoja value estimate za bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya mkoaGDP sio mapato ni estimates ,nazungumzia mapato yanayoshikika na kukusanywa na taasisi mbalimbali
Haya mambo ya uchumi ndio yanamchanganya kabisa.GDP inakusanya mapato yote..itangible na tangible pamoja value estimate za bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya mkoa
Tunaposema marekani ni nchi tajiri Duniani..Huwa hawaangalii government revenue wanaangalia norminal GDP au purchasing power parityGDP sio mapato ni estimates ,nazungumzia mapato yanayoshikika na kukusanywa na taasisi mbalimbali
Niko Dom kwa wiki tatu sasa mji unaku Kwa Kasi Ila bado sekta binafsi ziko Chini Sana mji ukifika usiku unapooza sehemu za burudani ni chache nadhani mzunguko wa pesa nje ya Serikalini uko Chini.Kungekuwa hakuna uhitaji wasingehenga..
Watu wa Dom Wana mzunguko mkubwa wa pesa sio maskini kama Mwanza ndio maana NHC haiwezi Jenga Mwanza .