Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

niliwahi kukwambia kabishane facebook humu hupawezi manake unachapwa facts kwa facts, hoja kwa hoja[emoji3][emoji3]
Facts zipi ikiwa dodoma haina four star hotel Moja...we unaleta vilodge vya laki 1 Kwa siku ..
Hivi nikikuletea hizi utasema ni Paris
Midland hotel
G&G hotel
Hotel tilapia
Ryan bay resort
Isamilo grand hotel
Gold crest hotel
Leyshof hotel
And so many
 
Ukiniletea hotel yenye hadhi na tourist taste kama hii nitag
 
Bukoba,Nansio,Musoma,Kigoma ni miji iliyozungukwa na ziwa sijaona cha ajabu apo na kamwe haiwezi kujilinganisha na Dodoma kwa sababu uwepo wa ziwa ni natural geographic factor sio man made factorπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.Siku wakijenga maghorofa kama ya Dodoma CBD pamoja na vigezo vingine vya kupima ubora wa CBD ambavyo Dodoma ipo navyo ndio uje na wewe wa Mwanza mtuambie lakini sio kujisifu kwa uwepo wa mandhari ya Ziwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sas kwenye maghorofa ndo mtaweza maana nimekuonea huruma kukuletea high rise hotel ,,,,, ikabidi nikupe tourist lodge kama hyo ,,,then ziwa sio factor kuwa tourist taste lodge Arusha zipo Kwan wana ziwa ...
Midland hotel 3 star
 
Midland hotel 3 starView attachment 2675839
πŸ˜€πŸ˜€Unachekesha aisee.....Best Western Dodoma City Hotel unajua ni ya ghorofa ngapi.Hii ni hoteli pekee Tanzania yenye swimming facilities at the top of the roof. Najua utataka picha kama kawaida yako
 
Attachments

  • Screenshot_20230702-093700.jpg
    65 KB · Views: 10
[emoji3][emoji3]Unachekesha aisee.....Best Western Dodoma City Hotel unajua ni ya ghorofa ngapi.Hii ni hoteli pekee Tanzania yenye swimming facilities at the top of the roof. Najua utataka picha kama kawaida yako
Ebu ona hii ...sema hotel pekee dodoma yenye swimming pool at the top ..
Hizo mwanza zipo nyingi
Kuna Belmont fair hotel
Gold crest hotel
Mwanza hotel
 
[emoji3][emoji3]Unachekesha aisee.....Best Western Dodoma City Hotel unajua ni ya ghorofa ngapi.Hii ni hoteli pekee Tanzania yenye swimming facilities at the top of the roof. Najua utataka picha kama kawaida yako
Kwenye kuwa pekee Tanzania yenye swimming at the top of the roof umetupiga na kitu kizito
 
Kwenye kuwa pekee Tanzania yenye swimming at the top of the roof umetupiga na kitu kizito
tofautisha swimming pool na swimming facilities at the top of the root whereby you can view the whole city view
 
Mwanza mumekumbukwa walau na haka ka Branch ka DIT ila mbona majengo Yako kama mabweni?

Dodoma Institute of Technology ni kali kuliko haya mabweni πŸ˜‚πŸ˜‚
Mikdde
 
[emoji3][emoji3]Unachekesha aisee.....Best Western Dodoma City Hotel unajua ni ya ghorofa ngapi.Hii ni hoteli pekee Tanzania yenye swimming facilities at the top of the roof. Najua utataka picha kama kawaida yako
Mbona hata Victoria hotel inayo swimming kwa juu...nadhani ni hotel nying Ina sifa izo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…