MUST ni veta iliyochangamka [emoji16][emoji1787][emoji16]Unaijua MUST au unaisikia? Hakuna Chuo hapo wewe
Vi branch uchwara π€£π€£MUST ni veta iliyochangamka [emoji16][emoji1787][emoji16]
Kwa taarifa yako mwanza inajenga vyuo hivi
IFM kiseke
TIA Usagara
MIPANGO kisesa
Ardhi sengerema.
CBE kangaye
City university kisesa (private)
Mwanza university igoma (private)
Chuo Cha taifa Cha utalii nyamagana
Mwanza university Ni branch ya chuo Gani [emoji16][emoji16][emoji16]Vi branch uchwara [emoji1787][emoji1787]
Eti Mwanza University [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ukiona Mwanza kwenye list ni tag π€£π€£π€£Mwanza university Ni branch ya chuo Gani [emoji16][emoji16][emoji16]
Wivu wivuu
[emoji16][emoji16][emoji16]...the so called flight link ..Ukiona Mwanza kwenye list ni tag [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
DIT sabasabaMUST ni veta iliyochangamka [emoji16][emoji1787][emoji16]
Kwa taarifa yako mwanza inajenga vyuo hivi
IFM kiseke
TIA Usagara
MIPANGO kisesa
Ardhi sengerema.
CBE kangaye
City university kisesa (private)
Mwanza university igoma (private)
Chuo Cha taifa Cha utalii nyamagana
ππna branch mojawapo ni ya Chuo Cha Mipango IRDP kutoka Dodoma makao makuuVi branch uchwara π€£π€£
Eti Mwanza University ππππ
Bora urudi ulikotokaHabari zenu wanajamvi kiufupi mi ni mgeni hapa ila hili jambo ni kama silifurahii sana, Hivi ni kwanini watanzania mmeamua kutambiana kuhusu sehemu moja dhidi ya nyingine, ukiangalia karibu 90% ya tunavyotambiana ni Government implementation ni vitu ambavyo havihamliwi na wakazi wa sehemu husika bali ni mpaka serikali ihamue,mi nafikiri tujikite katika kuleta hoja za kuikumbusha na kuishauri serikari kuhusu mambo ambayo yakifanyika mji fulani yataleta mchango mkubwa katika eneo husika, tukiendelea na mada hizi itafika mahali watu wasehemu moja watahisi wenzao wasehemu nyingine wanapendelewa zaidi kumbe hata hao tunaoona wanapendelewa nao bado wapo kwenye safari ya kujikomboa mwishowe chuki zitaanza kidogokidogo mwisho tutaingia kwenye kubaguana, Napendekeza hizi battle za majiji na miji ziishe tulete uzi za kuzikumbusha mamlaka zituletee miundombinu itakayotusukuma mbele! Naomba kuwasilisha
Mi naona haupo ki great thinker au kama ni great thinker basi kunadhamira unazo tengeneza kupitia hizi battle acha watanzania wapendane bro Tanzania ni yetu sote bila kujali unatokea wapBora urudi ulikotoka
ihamueββHabari zenu wanajamvi kiufupi mi ni mgeni hapa ila hili jambo ni kama silifurahii sana, Hivi ni kwanini watanzania mmeamua kutambiana kuhusu sehemu moja dhidi ya nyingine, ukiangalia karibu 90% ya tunavyotambiana ni Government implementation ni vitu ambavyo havihamliwi na wakazi wa sehemu husika bali ni mpaka serikali ihamue,mi nafikiri tujikite katika kuleta hoja za kuikumbusha na kuishauri serikari kuhusu mambo ambayo yakifanyika mji fulani yataleta mchango mkubwa katika eneo husika, tukiendelea na mada hizi itafika mahali watu wasehemu moja watahisi wenzao wasehemu nyingine wanapendelewa zaidi kumbe hata hao tunaoona wanapendelewa nao bado wapo kwenye safari ya kujikomboa mwishowe chuki zitaanza kidogokidogo mwisho tutaingia kwenye kubaguana, Napendekeza hizi battle za majiji na miji ziishe tulete uzi za kuzikumbusha mamlaka zituletee miundombinu itakayotusukuma mbele! Naomba kuwasilisha
New York na Los Angeles kilasiku wanalinganishwa.....Government inaplay part yake na wakazi wa majiji husika nao wanaplay part yaoNi kweli ila mambo mengi yanayowekwa hapa kama evidence hayatokani na jitihada binafsi za wakazi husika either ni Geographical reason ama ni Government implementation sioni sababu ya kuwa na mijadara hii badala yake tuendelee kuikumbusha serikari kutuletea vitu tunavyohisi vikiwekwa sehemu viteleta mchango chanya kiuchumi sehemu husika na Tanzania kwa ujumla
Hakuna picha Mpya?[emoji91][emoji328]View attachment 2682319
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna picha Mpya? View attachment 2682327
Kuna swali linaulizwa huku π[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii hapa [emoji116]View attachment 2682328