Mpenzi Mwehu
Member
- May 6, 2021
- 10
- 9
Punguza wivu maumivu Bado ππNjooni mchukue ndugu zenu huku wamezidi kuomba omba
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kanisa Toka 2015 haliishagi [emoji16]Anglican Cathedral Commercial Complex soon itafunguliwa.....alafu haters wanakwambia jiji la Dodoma linajengwa na miradi ya serikali tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Shule ulienda kusomea ujinga au....Hilo ni kanisa au commercial mall iliyopo pembeni mwa kanisaππKanisa Toka 2015 haliishagi [emoji16]
Eti commercial mall ...[emoji16][emoji16]Shule ulienda kusomea ujinga au....Hilo ni kanisa au commercial mall iliyopo pembeni mwa kanisa[emoji38][emoji38]
Eti commercial mall ...[emoji16][emoji16]
Ndo maana mama hataki kukaa hukoView attachment 2682792View attachment 2682793
Kila Mkoa Kuna Ikulu so sijui unashangaa nini.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mjumbe nawakilishaView attachment 2682708
Kama hizo trillion 4 zimeshindwa kuondoa umaskini wa kutisha uliopo huko ..then it's nonsense [emoji16][emoji16]Kila Mkoa Kuna Ikulu so sijui unashangaa nini.
Pili Kwa Sasa Wageni wengi wanashukia Dar ambako Kuna airport ndio maana mda mwingi anawapokea huko..
Mwisho miundombinu yote muhimu ya Kiserikali ikija Kukamilika kutakuwa hakuna haja ya kwenda Dar,na Kwa taarifa Yako Toka Serikali imetangaza kuhamia Dom chini ya Til.4 zimeshatumika Bado zaidi ya Til.6.
Sasa kama Til.4 zimeitoa Mwanza makamasi unadhani Hadi Til.10.8 zote zitakapokuwa consumed na Dom nyie si mtakuwa ni Kijiji tuu Cha Wavivi?
Hizo zinajenga Mji wa Serikali Bado kuelekezwa kwenye Jamii Moja kwa Moja hivyo multiplier effects yake sio kubwa sana..Kama hizo trillion 4 zimeshindwa kuondoa umaskini wa kutisha uliopo huko ..then it's nonsense [emoji16][emoji16]View attachment 2683605
Hiki kinaipendezesha au? ππKinachoiangusha Mwanza ni miundombinu ya barabara tu basi,,
Barabara za Kenyatta na Nyerere zipanuliwe angalau njia nne nne kila moja kwa angalau kilomita 50 kutoka mjini,,
Barabara za mitaani zipigwe lami zote maeneo tambarale na barabara za mawe maeneo ya milimani,,
Barabara ya kutoka uwanja wa ndege kupitia Igombe, Kayenze hadi Nyaguge,
Barabara ya kutoka kisesa hadi Usagara kwenda Kigongo daraja la JPM ipanuliwe iwe njia nne maana inaunganishwa na SGR stesheni ya Fella itakayo kuwa na bandali kavu,,
Haya pekee yakifanyika kwa ukanda huu Mwanza ni ya kubattle na Kigari Rwanda pekee sio hilo jangwa na vumbi la walima zabibu,,
View attachment 2683647
Mbona una select picha .....Hiki kinaipendezesha au? [emoji16][emoji16]View attachment 2683649View attachment 2683650
Yaani anajitekenya na kucheka mwenyewe....anataja barabara za vumbi kuwa changamoto kubwa apo Mwanza alafu anajilinganisha tena na Dodoma kuiita eti jangwa la vumbiπππ.Hiki kinaipendezesha au? ππView attachment 2683649View attachment 2683650
Kwa taarifayako Dodoma ndio Jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.CBD yote Dodoma ipo full covered na barabara za lami.....Nashukuru umetaja kabisa changamoto ya barabara huko Mwanza hivyo ni bora useme Mwanza ndio Jiji la VumbiππKinachoiangusha Mwanza ni miundombinu ya barabara tu basi,,
Barabara za Kenyatta na Nyerere zipanuliwe angalau njia nne nne kila moja kwa angalau kilomita 50 kutoka mjini,,
Barabara za mitaani zipigwe lami zote maeneo tambarale na barabara za mawe maeneo ya milimani,,
Barabara ya kutoka uwanja wa ndege kupitia Igombe, Kayenze hadi Nyaguge,
Barabara ya kutoka kisesa hadi Usagara kwenda Kigongo daraja la JPM ipanuliwe iwe njia nne maana inaunganishwa na SGR stesheni ya Fella itakayo kuwa na bandali kavu,,
Haya pekee yakifanyika kwa ukanda huu Mwanza ni ya kubattle na Kigari Rwanda pekee sio hilo jangwa na vumbi la walima zabibu,,
View attachment 2683647
Acha porojo ...... barabara zip Zina lami ukiacha highway,,,na barabara ya meliwa kuja wajenzi ,,bypass ya kisasa na barabara ya chang'ombeKwa taarifayako Dodoma ndio Jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.CBD yote Dodoma ipo full covered na barabara za lami.....Nashukuru umetaja kabisa changamoto ya barabara huko Mwanza hivyo ni bora useme Mwanza ndio Jiji la Vumbi[emoji3][emoji3]
barabara ipi ndani ya Dodoma CBD isiyo na lami....πππDodoma ukwame wapi kila kona lami usijaribu kamwe kulinganisha mtandao mpana wa barabara za lami Dom na vichochoro vya vumbi Mwanza ambavyo havijapangiliwa mipango mijiππAcha porojo ...... barabara zip Zina lami ukiacha highway,,,na barabara ya meliwa kuja wajenzi ,,bypass ya kisasa na barabara ya chang'ombe
πππFIFA Project ipo pia Mkwakwani Tanga,Kaitaba Kagera hakuna cha ajabu apo.Dom maeneo ya Nzuguni pembeni na Jeshi Ihumwa patajengwa kiwanja kikubwa cha michezo //Sports Complex kupita vyote Afrika Mashariki na KatiDoma desert mkiona Hiv mwatamani kufa kufa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyamagana pitch ....[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2684298View attachment 2684300View attachment 2684302