Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kama hukujifunza fiscal year..Rudi darasani kwanza [emoji28][emoji28][emoji28]
Miradi ya kilimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787].. kwenye viwanda mmepigwa na kahama
Uwekezaji wa Dodoma ni majengo ya serikali hakuna viwanda πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ🀫
 
Umeanza kutafutiza vitakwimu.vya kujifariji japo navyo vinakuaibisha

Mwaka 2022,Mwanza inazalisha mita za ujazo mil.29 mnapata bil.28

Dom. Uzalishaji Lita mil.21 mapato Bil.25

Nini kinakuja kwenye akili Yako? Mwanza population vs Dom population 🀣🀣🀣🀣

Nyie maskini no way mtashindana na Dom
 
Kuna mafala yanadanganya kuwa dodoma itaipita mwanza.....kwamba mwanza imelala ,,,hizi ni project za kawaida tu za watu binafsi
Picha ya kwanza ni ujenzi wa jengo la ghorofa 12 ni commercial building
Jengo la pili ujenzi wa hospital kubwa nyegezi ghorofa 8
Ghorofa la tatu ni residential building
Floor 9 .......
Hapo bado Kuna site Mpya zaidi ya 10 hapo CBD na site zaidi ya 20 huko outskirts ...... dodoma nje ya MJI wa serikali hamna site Mpya za private investor
 
Kwani wapi Tanzania hii jawajengi? Harafu kila siku kurudia vipicha tumekuchoka.

Endelea kuumia,tuliwaambia Dodoma sio Canberra Bali ni kama Younde
 
Kwani wapi Tanzania hii jawajengi? Harafu kila siku kurudia vipicha tumekuchoka.

Endelea kuumia,tuliwaambia Dodoma sio Canberra Bali ni kama Younde
Dodoma ndo hawajengi
..kama wanajengewa ziko wapi za ofisi za wizara [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…