Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma inaanza kupata wajukuu Sasa,Mwanza imetengwa [emoji16][emoji16]

Shinyanga inaipumulia dodoma kwenye uwekezaji [emoji28][emoji28][emoji28]
Screenshot_20230728-212822~2.jpg
 
Kama hukujifunza fiscal year..Rudi darasani kwanza [emoji28][emoji28][emoji28]
Miradi ya kilimo [emoji1787][emoji1787][emoji1787].. kwenye viwanda mmepigwa na kahama
Uwekezaji wa Dodoma ni majengo ya serikali hakuna viwanda 🤪🤪🤪🤪🤫
Screenshot_20230728-212822~2.jpg
 
Mwanza yaichapa dodoma mapato yatokanayo na maji ..hii Inamaanisha kuwa dodoma nyumba nyingi Zina umasikin hawana uwezo wa kulipia huduma za maji [emoji116][emoji116]
Bilioni 25 against bilioni 16 [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2701726
Umeanza kutafutiza vitakwimu.vya kujifariji japo navyo vinakuaibisha

Mwaka 2022,Mwanza inazalisha mita za ujazo mil.29 mnapata bil.28

Dom. Uzalishaji Lita mil.21 mapato Bil.25

Nini kinakuja kwenye akili Yako? Mwanza population vs Dom population 🤣🤣🤣🤣

Nyie maskini no way mtashindana na Dom
 
Kuna mafala yanadanganya kuwa dodoma itaipita mwanza.....kwamba mwanza imelala ,,,hizi ni project za kawaida tu za watu binafsi
Picha ya kwanza ni ujenzi wa jengo la ghorofa 12 ni commercial building
Jengo la pili ujenzi wa hospital kubwa nyegezi ghorofa 8
Ghorofa la tatu ni residential building
Floor 9 .......
Hapo bado Kuna site Mpya zaidi ya 10 hapo CBD na site zaidi ya 20 huko outskirts ...... dodoma nje ya MJI wa serikali hamna site Mpya za private investor
IMG-20230729-WA0018.jpg
IMG-20230729-WA0002.jpg
IMG-20230722-WA0001.jpg
 
Kuna mafala yanadanganya kuwa dodoma itaipita mwanza.....kwamba mwanza imelala ,,,hizi ni project za kawaida tu za watu binafsi
Picha ya kwanza ni ujenzi wa jengo la ghorofa 12 ni commercial building
Jengo la pili ujenzi wa hospital kubwa nyegezi ghorofa 8
Ghorofa la tatu ni residential building
Floor 9 .......
Hapo bado Kuna site Mpya zaidi ya 10 hapo CBD na site zaidi ya 20 huko outskirts ...... dodoma nje ya MJI wa serikali hamna site Mpya za private investor View attachment 2702711View attachment 2702712View attachment 2702713
Kwani wapi Tanzania hii jawajengi? Harafu kila siku kurudia vipicha tumekuchoka.

Endelea kuumia,tuliwaambia Dodoma sio Canberra Bali ni kama Younde
 
Kwani wapi Tanzania hii jawajengi? Harafu kila siku kurudia vipicha tumekuchoka.

Endelea kuumia,tuliwaambia Dodoma sio Canberra Bali ni kama Younde
Dodoma ndo hawajengi
..kama wanajengewa ziko wapi za ofisi za wizara [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom