Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 505
Sasa hiyo ya Kanisa nayo unahesabu ni binafsi we jamaa vipi[emoji38][emoji38]Si huwa unasema Dom miradi yote ni ya Serikali hakuna wawekezaji binafsi mbona unaruka ruka tena....au na wewe unataka uonekane ilimradi unabishana tu
Jibu swali Kanisa ni taasisi ya Serikali au binafsi....😆😆niliwahi kukwambia uwezo wako wa kubishana nenda facebook sio humu Jamiiforums.Sasa hiyo ya Kanisa nayo unahesabu ni binafsi we jamaa vipi
Ndio mana nakwambia kabisa miradi yake ni kila mkoa bro ..Yan iyo ya dodoma ndo unaona big issueJibu swali Kanisa ni taasisi ya Serikali au binafsi....[emoji38][emoji38]niliwahi kukwambia uwezo wako wa kubishana nenda facebook sio humu Jamiiforums.
Pathetic
Mkuu mjibu alichokuuliza..Ndio mana nakwambia kabisa miradi yake ni kila mkoa bro ..Yan iyo ya dodoma ndo unaona big issue
Nimeshamjibu jangwani city ...sasa hapa panatofauti gani na Darfur Sudan,Eritrea na KandaharMkuu mjibu alichokuuliza..
huyu MEMKWA ni kawaidayake ukimbana kwa hoja na facts anakuja kuhamisha magoli ....kubadilisha badilisha topics ndiomana niliwahi kumwambia uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogosana aende facebook humu JF hapaweziMkuu mjibu alichokuuliza..
Umeona palivyo pazuri? No uswazi no mabanda ya nguruwe kama ya Mwanza.Nimeshamjibu jangwani city ...sasa hapa panatofauti gani na Darfur Sudan,Eritrea na KandaharView attachment 2716111
Sasa kama kokoto ni vitu vya kujivunia kweli?
Kubali kataa dodoma ni jangwaUmeona palivyo pazuri? No uswazi no mabanda ya nguruwe kama ya Mwanza.
Compare and contrast View attachment 2716909View attachment 2716910
Unaambiwa ukweli acha kupanic Yani mradi wa Kanisa nao eti unahesabia ,asee kweli Dom Bado ndogohuyu MEMKWA ni kawaidayake ukimbana kwa hoja na facts anakuja kuhamisha magoli ....kubadilisha badilisha topics ndiomana niliwahi kumwambia uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogosana aende facebook humu JF hapawezi
Sawa wewe unapenda kuishi wapi? Jangwani kwenye order au msituni kwenye mabanda ya nguruwe na uswazi?Kubali kataa dodoma ni jangwa
Onyesha Madini ya MwanzaSasa kama kokoto ni vitu vya kujivunia kweli?
..flow ya watu Dodoma ipo juu kumbuka Dom ni katikati ya nchi mikoa yote unasafiri na kufika siku hiyohiyo. Mwanza inachozidi Dom City ni population kubwa hilo halina ubishiUkitoa Dar, Mwanza ndio mji unaofata kwa flow ya watu kuwa kubwa (inflow and outflow) kutoka mikoa jirani.... Mara, Kagera, Geita, Simiyu, Shinyanga Na Tabora.... which means circulation ya pesa ni kubwa pia kuliko Dodoma 🥲 i stand to be corrected [emoji846]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Dodoma kuna flow gani ya watu kuzidi Mwanza? Ukienda stendi tu ya Dodoma pamezubaa mda wote!..flow ya watu Dodoma ipo juu kumbuka Dom ni katikati ya nchi mikoa yote unasafiri na kufika siku hiyohiyo. Mwanza inachozidi Dom City ni population kubwa hilo halina ubishi
Tungeliona hilo kwa stand hata ya nane nane iwe busy... ila Dodoma watu wanapita tu Dodoma..flow ya watu Dodoma ipo juu kumbuka Dom ni katikati ya nchi mikoa yote unasafiri na kufika siku hiyohiyo. Mwanza inachozidi Dom City ni population kubwa hilo halina ubishi
Hapana sio kweli....kuna jamaazangu wanatoka Mbamba Bay,Nyasa mpakani na Malawi huko na wanafika Dom siku hiyohiyo. Dom ina advantage ya kuwa katikati ya nchi ndiomana safari za mikoa yote zinafikika siku hiyohiyo.Tungeliona hilo kwa stand hata ya nane nane iwe busy... ila Dodoma watu wanapita tu Dodoma
Ila kwa Mwanza ni Destination kabisa mfano
Mwanza Bukoba
Mwanza Tarime
Mwanza Musoma
Mwanza Kahama
Mwanza Tabora
Mwanza Geita
Mwanza Karagwe
Mwanza Mutukula
Hizo ni baadhi tu
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha flow ya watu kutoka mikoa ya jirani na Dom ....yes ipo kubwa tu sana ,mfano Dom-Iringa kuna gari kila baada ya nususaa yaani ni kama daladala vile ,Dom-Singida hali ni hiyo hiyo,Dom-Manyara hali ni hiyohiyo,Dom-Morogoro hali ni hiyohiyoHujanielewa bado... m nimesemea kwa mikoa jirani
Hata Mwanza mbona watu wanatoka hadi Songea na wanafika usiku
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app