Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji38][emoji38]Si huwa unasema Dom miradi yote ni ya Serikali hakuna wawekezaji binafsi mbona unaruka ruka tena....au na wewe unataka uonekane ilimradi unabishana tu
Sasa hiyo ya Kanisa nayo unahesabu ni binafsi we jamaa vipi
 
Sasa hiyo ya Kanisa nayo unahesabu ni binafsi we jamaa vipi
Jibu swali Kanisa ni taasisi ya Serikali au binafsi....😆😆niliwahi kukwambia uwezo wako wa kubishana nenda facebook sio humu Jamiiforums.
Pathetic
 
Jibu swali Kanisa ni taasisi ya Serikali au binafsi....[emoji38][emoji38]niliwahi kukwambia uwezo wako wa kubishana nenda facebook sio humu Jamiiforums.
Pathetic
Ndio mana nakwambia kabisa miradi yake ni kila mkoa bro ..Yan iyo ya dodoma ndo unaona big issue
 
Mkuu mjibu alichokuuliza..
Nimeshamjibu jangwani city ...sasa hapa panatofauti gani na Darfur Sudan,Eritrea na Kandahar
20230812_192147.jpg
 
Mkuu mjibu alichokuuliza..
huyu MEMKWA ni kawaidayake ukimbana kwa hoja na facts anakuja kuhamisha magoli ....kubadilisha badilisha topics ndiomana niliwahi kumwambia uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogosana aende facebook humu JF hapawezi
 
Unaambiwa ukweli acha kupanic Yani mradi wa Kanisa nao eti unahesabia ,asee kweli Dom Bado ndogo
 
Ukitoa Dar, Mwanza ndio mji unaofata kwa flow ya watu kuwa kubwa (inflow and outflow) kutoka mikoa jirani.... Mara, Kagera, Geita, Simiyu, Shinyanga Na Tabora.... which means circulation ya pesa ni kubwa pia kuliko Dodoma 🥲 i stand to be corrected [emoji846]

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
..flow ya watu Dodoma ipo juu kumbuka Dom ni katikati ya nchi mikoa yote unasafiri na kufika siku hiyohiyo. Mwanza inachozidi Dom City ni population kubwa hilo halina ubishi
 
..flow ya watu Dodoma ipo juu kumbuka Dom ni katikati ya nchi mikoa yote unasafiri na kufika siku hiyohiyo. Mwanza inachozidi Dom City ni population kubwa hilo halina ubishi
Tungeliona hilo kwa stand hata ya nane nane iwe busy... ila Dodoma watu wanapita tu Dodoma

Ila kwa Mwanza ni Destination kabisa mfano
Mwanza Bukoba
Mwanza Tarime
Mwanza Musoma
Mwanza Kahama
Mwanza Tabora
Mwanza Geita
Mwanza Karagwe
Mwanza Mutukula

Hizo ni baadhi tu

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Tungeliona hilo kwa stand hata ya nane nane iwe busy... ila Dodoma watu wanapita tu Dodoma

Ila kwa Mwanza ni Destination kabisa mfano
Mwanza Bukoba
Mwanza Tarime
Mwanza Musoma
Mwanza Kahama
Mwanza Tabora
Mwanza Geita
Mwanza Karagwe
Mwanza Mutukula

Hizo ni baadhi tu

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Hapana sio kweli....kuna jamaazangu wanatoka Mbamba Bay,Nyasa mpakani na Malawi huko na wanafika Dom siku hiyohiyo. Dom ina advantage ya kuwa katikati ya nchi ndiomana safari za mikoa yote zinafikika siku hiyohiyo.
Kipindi cha Bunge,kufungua na kufunga vyuo vikuu,mikutano ya vyama hali inakuaga mbaya zaidi flow ni kubwa hadi magari yanazidiwa.
 
Hujanielewa bado... m nimesemea kwa mikoa jirani

Hata Mwanza mbona watu wanatoka hadi Songea na wanafika usiku

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha flow ya watu kutoka mikoa ya jirani na Dom ....yes ipo kubwa tu sana ,mfano Dom-Iringa kuna gari kila baada ya nususaa yaani ni kama daladala vile ,Dom-Singida hali ni hiyo hiyo,Dom-Manyara hali ni hiyohiyo,Dom-Morogoro hali ni hiyohiyo
 
Back
Top Bottom