nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 694
- 1,104
Dom Iringa nusu saa uongo [emoji3] Fire way inatoka saa ngapi na kurudi saa ngapUnamaanisha flow ya watu kutoka mikoa ya jirani na Dom ....yes ipo kubwa tu sana ,mfano Dom-Iringa kuna gari kila baada ya nususaa yaani ni kama daladala vile ,Dom-Singida hali ni hiyo hiyo,Dom-Manyara hali ni hiyohiyo,Dom-Morogoro hali ni hiyohiyo
Dom Singida ukitoa Igama ambayo ni moja, jostano coaster na kampuni flan hv nayo coaster ambazo nazo hutoka kwa gape kubwa tu
Dom Manyara unamaanisha Babati? Napo bado huwezi linganisha hata na Mwanza Kahama
Angalia Mwanza nenda tu Myamhongolo pale utajua namaanisha nn
Mfano Mwanza Musoma kila baada ya dkk 30 hadi 40 gari inatoka na ni basi kubwa na kampuni ni nyingi mfano Johanvia, Africa Raha, Champion, B4U, Etc
Mwanza Tarime same same dkk 30 hadi 40 gari inatoka napo kampuni nyingi tu kuna Batco, Zakaria, Kisire, George Town, etc
Kote huko ni mabasi makubwa.. hapo sijasemea Kahama Mwanza kwa kina Frester na Zuberi na Tata za kutosha... Mwanza Bukoba etc
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app