Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unamaanisha flow ya watu kutoka mikoa ya jirani na Dom ....yes ipo kubwa tu sana ,mfano Dom-Iringa kuna gari kila baada ya nususaa yaani ni kama daladala vile ,Dom-Singida hali ni hiyo hiyo,Dom-Manyara hali ni hiyohiyo,Dom-Morogoro hali ni hiyohiyo
Dom Iringa nusu saa uongo [emoji3] Fire way inatoka saa ngapi na kurudi saa ngap
Dom Singida ukitoa Igama ambayo ni moja, jostano coaster na kampuni flan hv nayo coaster ambazo nazo hutoka kwa gape kubwa tu
Dom Manyara unamaanisha Babati? Napo bado huwezi linganisha hata na Mwanza Kahama

Angalia Mwanza nenda tu Myamhongolo pale utajua namaanisha nn
Mfano Mwanza Musoma kila baada ya dkk 30 hadi 40 gari inatoka na ni basi kubwa na kampuni ni nyingi mfano Johanvia, Africa Raha, Champion, B4U, Etc
Mwanza Tarime same same dkk 30 hadi 40 gari inatoka napo kampuni nyingi tu kuna Batco, Zakaria, Kisire, George Town, etc
Kote huko ni mabasi makubwa.. hapo sijasemea Kahama Mwanza kwa kina Frester na Zuberi na Tata za kutosha... Mwanza Bukoba etc

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Dom- Iringa ni kila baada ya nusu saa unapata gari nenda pale stendi ya Mkonze au pale wanapaita Matankini....Dom Singida nenda pale Kizota four ways(sio stendi rasmi) kila baada ya nusu saa unapata mabasi ..Dom -Manyara nenda pale stendi ya Machame(nayo siyo rasmi) kila baada ya nusu saa unapata gari
 
Kizota fourways ipi unasemea... hii hii ambayo karibu kila siku nakua mitaa hio unless unasemea Private

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Kizota fourways ipi unasemea... hii hii ambayo karibu kila siku nakua mitaa hio unless unasemea Private

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Kizota four-ways sio kituo rasmi hata pale mbele Mnada Mpya sio kituo rasmi cha magari ya Dom-Singida .Kituo rasmi ni Nanenane .Nimekutajia tu hivyo vituo ili uone flow kubwa ya watu Dom in and out kutokea mikoa ya jirani.Ukienda Nanenane pekee huwezi kupata picha kamili
 
..flow ya watu Dodoma ipo juu kumbuka Dom ni katikati ya nchi mikoa yote unasafiri na kufika siku hiyohiyo. Mwanza inachozidi Dom City ni population kubwa hilo halina ubishi
Dodoma Kuna flow gani ya watu broo ?! Yani wewe lengo lako ubishane tu wagogo bana
 
Dodoma Kuna flow gani ya watu broo ?! Yani wewe lengo lako ubishane tu wagogo bana
Maelfu ya watu wanaingia na kutoka Dodoma mostly Watumishi na Watumishi ni Kati ya watu wenye vipato hivyo kuleta mzunguko wa uhakika wa hela Dom.

Ndio maana ukijumlosha mapato ya Mwanza na Arusha hayafiki ya Dom
 
Kwa hiyo Mkoa mzima mna dhahabu basi? Dom inaongoza Kwa Madini anuwai hapa Tanzania as per Taasisi ya Jiolojia Tanzania
Dhahabu 70% Tz inatoka Mwanza na Shinyanga ambapo kwa 2022 ni zaidi USD 3.5 Bilioni au kama 8.5 Trinioni Tshs! Niambie Dodoma kuna madini gani zaidi kubebwa kila kitu na mikoa mingine! Hapo una kitu cha kuongea??
 
Dodoma sii kijani yaani ni vumbi hapavutii! Mz na Ar kijani naturally!
Nitajie barabara yoyote ya vumbi ndani ya Dodoma CBD tulinganishe na barabara za vumbi na vichochoro vya Mwanza na Arusha visivyopangiliwa😆😆.
Kijani👇👇
 
Attachments

  • b07245e0edd4d47c03c58d58f7d67552.png
    b07245e0edd4d47c03c58d58f7d67552.png
    10.8 KB · Views: 4
  • 73ab8dd68316ded6d03931e27e76791f.png
    73ab8dd68316ded6d03931e27e76791f.png
    20.9 KB · Views: 4
Dhahabu 70% Tz inatoka Mwanza na Shinyanga ambapo kwa 2022 ni zaidi USD 3.5 Bilioni au kama 8.5 Trinioni Tshs! Niambie Dodoma kuna madini gani zaidi kubebwa kila kitu na mikoa mingine! Hapo una kitu cha kuongea??
Mwanza hakuna Mgodo wa dhahabu acha porojo wewe
 
CBD ndio kitu gani sasa mbona unaandika vitu kama vile sote tunajua unaongelea nini?
 
CBD ndio kitu gani sasa mbona unaandika vitu kama vile sote tunajua unaongelea nini?
The central business district (CBD) is that part of the city which contains the principal commercial streets and main public buildings.
 
Nitajie barabara yoyote ya vumbi ndani ya Dodoma CBD tulinganishe na barabara za vumbi na vichochoro vya Mwanza na Arusha visivyopangiliwa[emoji38][emoji38].
Kijani[emoji116][emoji116]
Dodoma mavumbini [emoji16][emoji16][emoji3059][emoji116]
IMG_20230809_170018_612.jpg
IMG_20230809_170010_698.jpg
IMG_20230812_145158_652.jpg
 
Dodoma mavumbini [emoji16][emoji16][emoji3059][emoji116]View attachment 2717464View attachment 2717466View attachment 2717467
😀😀hizo barabara katikati ya nyumba za watu ndio umechagua za kupiga picha.
Main roads na feeder roads za Dom CBD kote ni lami tupu.Serikali inawapendelea sana Dom kujenga barabara za lami hadi ndani ndani huko ukijumlisha na ule mradi wa World Bank wa TSCP(Tanzania Stategic Cities Project ) Mwanza haifiki hata nusu ya mtandao mpana wa barabara za lami Dom 👇👇

Back
Top Bottom